Virusi vya corona: Walioambukizwa Tanzania wafikia 254
Wizara ya afya nchini Tanzania imethibitisha kuwa watu 84 wapya wameambukizwa virusi vya corona na kufikisha idadi ya wagonjwa wa Covid-19 kufikia 257.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili27 Apr
Virusi vya Corona: Walioambukizwa virusi vya corona Kenya wafikia 363
Walioambukizwa virusi vya corona Kenya wafikia 363.
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya corona: Walioambukizwa Kenya wafikia 320
Wagonjwa wengine 17 wamethibitishwa kuwa na virusi vya corona Kenya na kuongeza idadi ya watwanaougua ugonjwa huo kufikia 320.
5 years ago
BBCSwahili21 May
Virusi vya corona: Je ni kwanini Idadi ya watu walioambukizwa virusi Uganda inapunguzwa?
Waziri wa afya nchini Uganda amerudisha nyuma namba za idadi ya watu waliopata maambukizi ya corona nchini Uganda baada ya rais Yoweri Museveni kutoa agizo kuondoa idadi ya madereva wote wageni katika orodha ya wagonjwa wa corona nchini Uganda.
5 years ago
BBCSwahili17 Apr
Virusi vya corona: Walioambukizwa corona Kenya wafika 246
Kenya yathibitisha wagonjwa wapya 12 wa corona na kufikisha 246 jumla ya watu walioambukizwa.
5 years ago
BBCSwahili05 May
Virusi vya corona: Idadi ya walioambukizwa Kenya yafikia 535
Kenya yarekodi idadi kubwa ya walioambukizwa corona kwa siku
5 years ago
BBCSwahili17 Mar
Coronavirus: Idadi walioambukizwa virusi vya corona yaongezeka Rwanda
Wizara ya afya nchini Rwanda imesema kuwa watu wengine wawili wamepatikana na virusi vya corona.
5 years ago
BBCSwahili30 Mar
Coronavirus: Idadi ya walioambukizwa virusi vya corona yafikia 70 Rwanda
Rwanda imethibitisha visa 10 vipya vya maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 siku ya Jumapili na kufikia 70.
5 years ago
BBCSwahili08 May
Virusi vya corona: Idadi ya walioambukizwa yaongezeka Madagascar licha ya kuwa na 'dawa'
Idadi ya wagonjwa wa corona inaendelea kuongezeka Madagascar licha ya nchi hiyo kudai kuwa imepata ''dawa'' ya kukabiliana na maradhi hayo.
5 years ago
BBCSwahili13 Mar
Coronavirus: Ramani inayoonesha idadi ya watu walioambukizwa na waliofariki kutokana na virusi vya corona duniani
Tayari virusi hivyo vimesambaa katika mabara yote duniani isipokuwa Antarctica
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania