Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Virusi ya Corona: Arsenal yaanza mazoezi binafsi huku mipango ya kumaliza msimu ikipamba moto

Mipango ya kuanza tena kwa ligi ya Primia itaimarishwa wiki hii

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wagonjwa wa corona 4 wafariki huku 15 wakipata maambukizi Kenya

Kenya imeripoti jumla ya visa 411 vya maambukizi ya virusi vya corona Ijumaa, kwa mujibu wa taarifa za hivi punde zilizotangazwa na Waziri wa Afya wan chi hiyo Bwana Mutahi Kagwe

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Victor Wanyama anaelezea jinsi Corona ilivyoathiri mipango

Janga la virusi vya Covid-19, limesababisha athari nyingi mkiwemo mipango ya soka ya wachezaji wa soka la kulipwa Ulaya. Victor Wanyama kutoka Kenya anaelezea jinsi alivyoathiwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Je kusukutua mdomo na maji ya moto ni kinga ya virusi vya corona?

Kumekuwa na taarifa zinazosambaa mtandaoni kuwa kusukutua mdomo kunazuia virusi vya corona je hilo ni kweli ?

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Msimu wa Championship kuanza Juni 20

Msimu wa championship umepangwa kuanza tarehe 20 Juni, miezi zaidi ya mitatu baada ya kuahirishwa kwasababu janga la virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: WHO yakaza uzi huku Madagascar ikijaribu kupata uthibitisho wa dawa

Tayari marais wa nchi nne wameshaagiza kinywaji cha mitishamba kutoka Madagascar

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Idadi ya wagongwa Kenya yafikia 607 huku Zanzibar 134

Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona kisiwani Zanzibar nchini Tanzania imeongezeka na kufikia 134 baada ya wizara ya afya kisiwani humo kutangaza visa vinane vipya zaidi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Frank Komba mwamuzi wa soka wa Tanzania anayefanyia mazoezi sebuleni

Muamuzi msaidizi mwenye nembo ya FIFA nchini Tanzania Frank Komba ameamua kuendela kufanyia mazoezi nyumbani kutokana na Janga la Corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Johnson azungumzia 'mipango ya dharura' iliyowekwa wakati anatibiwa

Boris Johnson amesema madaktari walikuwa wamepanga cha kufanya iwapo matibabu ya virusi vya corona aliyokuwa anapewa hayangefaulu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mombasa yaandikisha wagonjwa wapya 19 huku idadi ikifikia 465 Kenya

Kenya imethibitisha wagonjwa 30 wapya hatua inayoongeza idadi ya visa vya ugonjwa huo nchini humo kufikia 465 kulingana na katibu wa kudumu katika wizara ya afya nchini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani