Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Visa viwili vipya vya Ebola vyaripotiwa Guinea

Visa viwili vipya vya maambukizi ya ugonjwa wa Ebola vimeripotiwa nchini Guinea na kufuta matumaini ya kudhibiti ugonjwa huo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Visa vpya vya Ebola vyaripotiwa Liberia

Serikali imethibitisha visa viwili vipya vya maambukizi ya Ebola na kuiweka idadi ya walioambukizwa kuwa watu watano.

 

9 years ago

BBCSwahili

Visa vipya vya ebola vyatangazwa Liberia

Umoja wa Mataifa umesema kuna maambukizi mapya ya Ebola nchini Liberia baada ya nchi hiyo kutangazwa kutokuwa na ugonjwa huo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Visa vipya 130 vya Ebola Sierra Leone

Maafisa nchini Sierra Leone wanasema kuwa wamepata visa vipya 130 vya maambukizi ya Ebola katika siku 3 tangu kuwekwa amri ya kutotoka nje

 

10 years ago

BBCSwahili

Visa 3 vya MERS vyaripotiwa K Kusini

Maafisa wa afya nchini Korea kusini wamethibitisha visa vingine vitatu vya ugonjwa wa matatizo ya kupumua au MERS.

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: TRL YAPOKEA Vichwa vya treni vipya viwili kutoka Afrika Kusini

 Vichwa viwili kati ya vichwa 13 vya treni vilivyonunuliwa na TRL 
Machi 21, 2015 tumeshuhudia tukio muhimu sana kwa TRL kupokea sehemu ya vichwa vipya vya treni vilivyoagizwa kutoka nje ya Nchi.  Tumepokea vichwa viwili (2) kati ya vichwa kumi na tatu (13) vya treni vilivyonunuliwa na TRL kupitia bajeti ya Serikali.


Vichwa hivi vimetengenezwa kupitia mkataba kati ya TRL na Kampuni ya EMD ya Marekani.  Utengenezaji wa vichwa hivi vya treni umefanyika na Kampuni ya DCD ya Afrika Kusini.


Ununuzi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mtoto wa miezi 10 miongoni mwa visa vipya vya virusi vya corona Rwanda

Wizara ya afya nchini Rwanda imetangaza kuwa watu wengine sita wameambukizwa virusi vya corona miongoni mwao mtoto mchanga.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kenya yarekodi visa viwili huku Rwanda 11 wakiruhusiwa kwenda nyumbani

Watu wawili wamepatikana na maambukizi ya virusi vya corona nchini Kenya huku wagonjwa 11 wakitarajiwa kuruhusiwa kwenda nyumbani baada ya kupona virusi hivyo nchini Rwanda.

 

5 years ago

Michuzi

Kenya yatangaza visa 8 vipya vya ugonjwa wa corona

Waziri wa afya wa Kenya Mutahi Kagwe ametangaza kuwa watu wengine wanane wamethibitishwa kuwa na ugonjwa wa corona nchini humo. Ongezeko hilo linafikisha 15 idadi ya watu walioambukizwa virusi hivyo hatari.

Walioambukizwa ni Wakenya watano na raia watatu wa kigeni walio na umri wa kati ya miaka 20 hadi 57.

Wanane hao waliingia nchini kupitia uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta kati ya Machi 4 na 17.

Serikali kwa sasa inafanya juhudi ya kuwatafuta waliotangamana nao ili kudhibiti...

 

5 years ago

Michuzi

Visa vinne vipya vya coronavirus vyathibitishwa Kenya

Kulingana na waziri Kagwe visa vinne vilivyoongezeka vya COVID-19 vinalifanya taifa hilo kuwa na jumla ya visa 42, tangu kisa cha kwanza kiliporipotiwa tarehe 13 Machi.

Visa hivyo ni pamoja na Mkenya mmoja, raia mmoja wa Cameroon, Mmarekani mmoja na raia mmoja wa Burkina Faso . Akitoa taarifa kuhusu janga la coronavirus

Bwana Kagwe amewashauri Wakenya wote kushirikiana kuzuwia maambukizi ya corona badala ya kuuachia mzigo huo serikali pekee:'' Tunahitaji kufikiria jinsi ya kushughulikia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani