Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VODACOM kuburuzwa kortini ni baada ya kushindwa kumlipa Sh.Milioni 100 mshindi wa mchezo wa “Jay Millions”

Danny Paul Njau, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo.

Mshindi wa mchezo wa kubahatisha wa Jay Millions, Danny Paul Njau (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Kampuni ya Simu ya Vodacom kushindwa kumpa zawadi yake ya sh.milioni 100 baada ya kushinda mchezo huo.

Mshindi wa mchezo wa kubahatisha wa Jay Millions, Danny Paul Njau (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Kampuni ya Simu ya Vodacom kushindwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA VODACOM KUBURUZWA KORTINI NI BAADA YA KUSHINDWA KUMLIPA SH.MILIONI 100 MSHINDI WA MCHEZO WA JAY MILLIONS

 Danny Paul Njau, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo. Mshindi wa mchezo wa kubahatisha wa Jay Millions, Danny Paul Njau (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Kampuni ya Simu ya Vodacom kushindwa kumpa zawadi yake ya sh.milioni 100 baada ya kushinda mchezo huo. Mshindi wa mchezo wa kubahatisha wa Jay Millions, Danny Paul Njau (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Kampuni ya Simu ya Vodacom kushindwa kumpa...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA MILIONI 10 ZA JAY MILLIONS AKABIDHIWA MPUNGA WAKE DAR LIVE

Jay Millions (kulia) akimkabidhi Shamila Ramadhani (kushoto) mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 alizojishindia kupitia shindano la Jay Millions. Katikati ni mume wa Shamila. Mshindi wa milioni 10 za Jay Millions, Shamila Ramadhani na mumewe wakionesha mfano wa hundi ya fedha hizo. Jay Millions akipozi na…

 

10 years ago

Habarileo

Magari 100 kuburuzwa kortini Moshi

MAGARI 100 yanayotoa huduma za usafiri kwenye Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, yatafikishwa mahakamani na Kampuni ya Barrack Printers Limited ya mjini Moshi kwa kushindwa kulipa ushuru wa maegesho.

 

9 years ago

GPL

KAFULILA KUBURUZWA KORTINI, KUILIPA IPTL, PAP MIL 100

Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila. KAMPUNI ya IPTL pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa PAP Harbinder Sigh Seth, wamemfungulia kesi aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakitaka awalipe shilingi za milioni 100. Wakili aliyefungua kesi hiyo kwa niaba ya mteja wake anasema, wanataka mahakama kumuamuru David Kafulila alipe fedha hizo kwa kuwakashifu kuwa wamechukua fedha...

 

9 years ago

GPL

MSHINDI WA JAY MILLIONS AFUNGUKIA MAFANIKIO YAKE

Irene Mrema aliyekuwa mmoja wa washindi wa kitita cha shilingi Milioni 100 kupitia promosheni ya Jaymillions iliyokuwa ikiendeshwa na Vodacom Tanzania(kushoto) akimwelezea Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo,Matina Nkurlu(kulia)alipomtembelea nyumbani kwake kujua maendeleo ya mafanikio aliyoyapata baada ya ushindi wake likiwemo la kumalizia nyumba ya kisasa anayoishi na familia yake maeneo ya Goba jijini Dar es Salaam. Meneja...

 

10 years ago

Michuzi

EDWARD MBUGI WA MBOZI AKABIDHIWA SHILINGI MILIONI 1/- ALIZOJISHINDIA KUPITIA PROMOSHENI YA JAY MILLIONS

Mkazi wa Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Mbeya Edward Mbugi,amekabidhiwa fedha zake kiasi cha shilingi Milioni 1/-na Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya Nyandaya Kusini,Macfadyne Minja,alizojishindia kupitia promosheni ya Jay Millions inayoendeshwa na kampuni hiyo. Akizungumza muda mfupi baada ya kukabidhiwa fedha zake za Ushindi, mshindi wa Shilingi Milioni 1 wa Promosheni hiyo, Edward Mbugi, amesema kwanza kabisa hakuamini kama ameshinda kwani kumekuwa na kasumba ya washindi wengi wanaoshinda...

 

10 years ago

GPL

EDWARD MBUGI AKABIDHIWA FEDHA ZAKE SHILINGI MILIONI 1/- ALIZOJISHINDIA KUPITIA PROMOSHENI YA JAY MILLIONS‏

Mkuu wa Vodacom Tanzania Kanda ya Nyasa, Macfadyne Minja (kushoto) akipokea pesa kiasi cha shilingi Milioni 1/- toka kwa wakala wa M-PESA jijini Mbeya kwa ajili ya kumkabidhi rasmi mkazi wa Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Mbeya, Edward Mbugi (kulia) alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini humo hivi karibuni. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay au AUTO kwenda...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS KUKABIDHIWA KITITA CHAKE

Mshindi wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions  inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Uwezo Magedenge (22) akiwa nyumbani kwao kijiji cha Pamilini Kilolo Mkoa wa Iringa  akiendelea na shughuri zake za nyumbani wakati alipotembelewa na maofisa  wa Vodacom Tanzania  kijijini hapo kwa  ajili ya kumchukua na kumpeleka jijini Dar es Salaam kwa makabidhiano rasmi ya kitita chake hivi karibuni.
Meneja...

 

10 years ago

Michuzi

Mshindi mwingine wa milioni 100 za Jaymillions akabidhiwa kitita chake

 Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Hamisi Khalid (kushoto) mkazi wa Mtwara akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia) baada ya kuibuka mshindi wa kitita hicho kupitia promosheni hiyo hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani