Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vodacom Tanzania na Coca-Cola wazindua Coke Studio Promo

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twisa akiongea wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Coke Studio msimu wa pili ambapo wateja wa Vodacom Tanzania watajipatia muda wa maongezi wa dakika tano bure kwa kila soda moja ya chupa ya Coca-Cola. Kushoto kwake ni Meneja wa Bidhaa wa Coca Cola Tanzania Maurice Njowoka na wa kwanza kulia ni Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Coca-Cola Kwanza Nalaka HettiarachchiMeneja Bidhaa wa Coca-Cola Tanzania Maurice Njowoka akijibu maswali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

VODACOM TANZANIA , COCA-COLA WAZINDUA COKE STUDIO PROMO

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twisa akiongea wakati wauzinduzi wa promosheni ya Coke Studio msimu wa pili ambapo wateja wa Coca-Cola watajipatia muda wa maongezi wa dakika tano bure kwa kila soda moja ya chupa ya Coca-Cola. Meneja Bidhaa wa Coca-Cola Tanzania, Maurice Njowoka akiongea wakati wauzinduzi wapromosheni ya Coke Studio msimu wa pili ambapo watejawa… ...

 

11 years ago

Michuzi

coca cola yaitangaza TANZANIA kwa aina yake

Kampuni ya CocaCola imetengeneza kopo la kinywaji cha coca cola maalumu kwa kuitangaza TANZANIA

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ofisa Masoko Coca-Cola auawa

OFISA Masoko wa Kampuni ya vinywaji ya Coca-Cola, Steven Mbilo (40), amefariki dunia baada ya kupigwa risasi maeneo ya kifuani. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Iringa,...

 

11 years ago

BBC

VIDEO: Coca Cola v Gay Rights

#BBCTrending investigates a Coca Cola website that prohibits the word 'gay'

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyota Copa Coca-Cola warejea

NYOTA wawili waliochaguliwa kwenda kwenye kambi ya kimataifa ya Copa Coca-Cola iliyofanyika nchini Brazil wiki iliyopita, wamerejea nchini juzi usiku. Wachezaji hao, Ali Mabuyu kutoka Ilala na Juma Yusuf wa...

 

9 years ago

Michuzi

COPA COCA COLA KUFANYIKA MWAKANI

MASHINDANO ya Copa Coca Cola yanayodhaminiwa na Kampuni ya Vinywaji ya Coca Cola yaliyokuwa yafanyike katikati ya mwaka huu, sasa yatafanyika mapema mwakani mwezi Februari kuanzia ngazi ya Wilaya na fainali zake kufanyika mwezi Juni na Julai 2016.
Michuano hiyo ambayo hushirikisha timu za mikoa yote Tanzania kuanzia katka ngazi ya Wilaya, hufanyika kila mwaka kwa kuwashirkisha vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U15).
Taarifa ya Idara ya Masoko ya Coca Cola imesema kampuni hiyo ...

 

10 years ago

Mwananchi

Kambi ya Copa Coca Cola safi

Kambi ya kimataifa ya Copa Coca-Cola imeanza leo katika uwanja wa michezo wa Chuo Kikuu cha Pretoria ikishirikisha vijana wadogo kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Burundi, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wakijifunza mbinu mbalimbali za soka.

 

9 years ago

TheCitizen

Coca-Cola Pulls Offensive Ad, but the Damage Is Already Done

In an ad distributed by Coca-Cola Mexico, pretty, young white people do their holiday good deed by bringing bottles of soda to a remote village and build a wooden Christmas tree in the town square.

 

11 years ago

BBCSwahili

Coca-Cola kuondoa kiungo tatanishi

Kampuni kubwa zaidi ya vinywaji duniani Coca-Cola, imeshinikizwa kuondoa kiungo tatanishi katika baadhi ya vinywaji vyake ambacho wengi wanasema sio salama

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani