VUMBI LIGI KUU KUTIMKA WIKIENDI
Mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara unaanza kesho (Januari 25 mwaka huu) kwa mechi nne zitakazochezwa katika miji ya Bukoba, Dar es Salaam na Tanga. Mabingwa watetezi Yanga watakuwa wageni wa Ashanti United kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati kwenye jiji hilo hilo Uwanja wa Azam Complex kutakuwa na mechi kati ya wenyeji Azam FC na Mtibwa Sugar kutoka Morogoro. Coastal Union na...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s72-c/001.Ferrao.jpg)
WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s640/001.Ferrao.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3rPnvKAR8Ko/VfJghZutsEI/AAAAAAAH39A/NbQnv8YM4SA/s640/002.Ferrao.jpg)
Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-HiJisCo494s/VSeQ70saQBI/AAAAAAAHP_k/qpL7RL2bwLw/s72-c/tff_LOGO1.jpg)
LIGI KUU YA VODACOM KUENDELEA WIKIENDI HII
![](http://2.bp.blogspot.com/-HiJisCo494s/VSeQ70saQBI/AAAAAAAHP_k/qpL7RL2bwLw/s1600/tff_LOGO1.jpg)
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania inatarajiwa kuendelea wikiendi hii katika viwanja sita tofauti nchini, viwanja vinne vikitimua vumbi kesho jumamosi, na michezo miwili kuchezwa siku ya jumapili.
Jumamosi JKT Ruvu watakua wenyeji wa Coastal Union katika Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi jijini Dar es salaam, huku wakata miwa wa Kagera Sugar wakiwakaribisha maafande wa Ruvu Shooting katika uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.
Timu ya Mtibwa Sugar watawakaribisha Azam FC kwenye uwanja wa...
10 years ago
BBCSwahili06 Feb
Ligi kuu England kuendelea wikiendi hii
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Vumbi kutimka mkutano mkuu TFF
9 years ago
Bongo502 Oct
Ratiba ya mechi za ligi kuu Uingereza wikiendi hii
10 years ago
BBCSwahili31 Jul
Ligi kuu England kuanza kutimua vumbi
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-r7UC0K6y64M/VdWqJpyrt1I/AAAAAAAHyio/R5SVPpicx9M/s72-c/mail.google.com.jpg)
9 years ago
GPLAZAM SPORTS FEDERATION CUP KUTIMUA VUMBI WIKIENDI HII