Vyama vyakataa msajili kusuluhisha migogoro
VYAMA vya siasa nchini vimeiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama isihusike kutatua migogoro ya ndani ya vyama kwa kuwa jukumu hilo ni la ndani ya vyama husika vyenye miongozo ya kuitatua.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi27 Apr
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGa0Y6kLfZla91oqfmkX7w6XfoZdF-i6o-K1i5EBO8j9GeqCxhzlIQnp3-EF77F3P4P-9rBrLEwU3ArjG3ZGt48n/1.jpg?width=650)
9 years ago
VijimamboMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-mbMo2RIkhrk/XnN-DtAnxMI/AAAAAAALkdY/0Vq_LBXoi70sQjqjAitQuaYrAUCi-9jrwCLcBGAsYHQ/s72-c/TAARIFA%2BKWA%2BUMMA-%2BOFISI%2BYA%2BMSAJILI%2BWA%2BVYAMA%2BVYA%2BSIASA.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Tadea walia na msajili wa vyama
MWENYEKITI Mstaafu wa Chama cha Tanzania Democratic Alliance (Tadea), Joachim Mwingira, amempa siku 30 Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi, achukue hatua na kumaliza mgororo wa uongozi uliopo...
10 years ago
Tanzania Daima11 Sep
Ofisi ya Msajili wa Vyama yapigwa ‘tafu’
SERIKALI kupitia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imepokea msaada wa vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Teknohama), vyenye thamani ya zaidi ya sh milioni 200. Vifaa hivyo...
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Msajili wa vyama afute usajili wa CCM
WAHENGA walisema “mkataa kikoa ni mchawi.” Mtu anayekataa kushirikiana na wenzake ni kama mchawi. Methali hii yatunasihi tusiwe na tabia ya kutoshirikiana na wenzetu. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeonyesha dhahiri...
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Msajili avionya vyama vya siasa
MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amevionya vyama vya siasa kujiepusha na vurugu, lugha za matusi, maandamano yasiyozingatia utaratibu uliowekwa kisheria na vitendo vya rushwa. Jaji Mutungi...
10 years ago
Habarileo06 Sep
Wataka Msajili awezeshwe kufuta vyama korofi
BAADHI ya Kamati za Bunge Maalumu la Katiba zimependekeza Msajili wa Vyama vya Siasa nchini apewe nguvu na Katiba awe na mamlaka ya kufuta chama chochote cha siasa kinachokiuka masharti ya kusajiliwa, ikiwemo kuleta uchochezi kama njia ya kufikia malengo yake ya kisiasa.