Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VYOMBO YA HABARI VINA UWEZO WA KUZUIA AU KUWA CHANZO CHA MACHAFUKO.

Na Mwandishi Maalum, New York  Imeelezwa kuwa waandishi wa habari pamoja na vyombo wanavyofanyia kazi wana nafasi kubwa ya ama kuchochea uibukaji wa machafuko katika nchi zao au kuyazuia kwa kutumia kalamu zao. Hayo yameelezwa siku ya Alhamis hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa wakati wa hafla ya uzinduzi wa mfumo mpya wa uchambuzi unaolenga kutathmini viashiria hatarishi vya uhalifu, mauaji ya kimbari ,uhalifu dhidi ya binadamu na uhalifu wa kivita Hafla ya uzinduzi ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

VYOMBO VYA HABARI VINAWEZA KUZUIA AU KUWA CHANZO CHA MACHAFUKO

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Jan Eliasson akizungumza wakati wa uzinduzi wa mfumo mpya wa thathmini na utambuzi wa viashiria vinavyoweza kama visipodhibitiwa mapema kuleta uhalifu, uhalifu dhidi ya binadamu na uhalifu wa kivita. uzinduzi huo umefanyika siku ya Alhamisi hapa Makao Makuu ya Umoja wa MataifaNaibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Balozi Ramadhan Mwinyi akizungumza wakati wa hafla hiyo ambayo iliandaliwa kwa pamoja na Wakilishi za Kudumu...

 

10 years ago

Vijimambo

WARSHA KUHUSU NAFASI YA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUZUIA UKATILI DHIDI YA WATOTO NCHINI TANZANIA YAFUNGULIWA LEO KILIMANJARO.

  Julieth Swai Mwakilishi kutoka UNICEF akizungumza jambo Baadhi ya washiriki wa Warsha wakifuatilia kwa makini Mmoja wa  washiriki wakiuliza maswali katika warsha hiyo Kimela Bila Mwandaaji wa Kipindi cha Walinde Watoto akizungumza katika Warsha hiyo Mathias Haule, Afisa Maendeleo ya Jamii maswala ya Ukatili dhidi ya Watoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akielezea Sheria ya Mtoto Neema Kimaro, Mratibu wa kipindi cha Walinde Watoto kutoka True Vision Production...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali ya Tanzania, UNICEF waendesha warsha kwa vyombo vya habari kuzuia ukatili kwa watoto

 

Julieth Swai Mwakilishi kutoka UNICEF akizungumza jambo.

Baadhi ya washiriki wa Warsha wakifuatilia kwa makini.

Mmoja wa  washiriki wakiuliza maswali katika warsha hiyo.

Kimela Bila Mwandaaji wa Kipindi cha Walinde Watoto akizungumza katika Warsha hiyo.

Mathias Haule, Afisa Maendeleo ya Jamii maswala ya Ukatili dhidi ya Watoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akielezea Sheria ya Mtoto.

Neema Kimaro, Mratibu wa kipindi cha Walinde Watoto kutoka True...

 

9 years ago

Dewji Blog

RC Arusha aviomba vyombo vya habari kusaidia uchaguzi mkuu kuwa wa amani

MMGL0653

Pichani ni  Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda.

Na Woinde Shizza, Arusha

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda, amevitaka vyombo vya habari nchini kusaidia uchaguzi mkuu mwaka huu umalizike kwa amani na utulivu ili Tanzania iendelee kuwa na sifa ya amani Barani Afrika.

Akizungumza katika tamasha la 10 la vyombo vya habari mkoani hapa, lililowashirikisha wanahabari kutoka mkoa wa Arusha, Manyara na jijini Dar es Salaam, Ntibenda, alisema vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa amani na...

 

11 years ago

Michuzi

OSIEA YATOA WITO WA KUWA NA VYOMBO HURU VYA HABARI JIJINI DAR

Meneja Mradi wa Asasi ya Kijamii ya The Open Society Initiative For Eastern African Tanzania (OSIEA), Agnes Hanti akiongea wakati wa mafunzo kwa wadau wa Habari nchini juu ya changamoto zinazowakabili waandishi wa habari hasa katika haki ya kukuza demokrasia kwa waandishi wa habari yaliyofanyika leo Aprili 2, 2014 jijini Dar es Salaam.  Meneja Mradi wa Asasi ya Kijamii ya The Open Society Initiative For Eastern African Tanzania (OSIEA), Agnes Hanti akiongea wakati wa mafunzo kwa...

 

9 years ago

Michuzi

VYOMBO HABARI VIMECHANGIA KUFANYA UCHAGUZI KUWA WAZI NA HAKI NA HURU —NEC

Mkuu wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Giveness Aswile, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuvishukuru vyombo vya habari kwa kuripoti vizuri katika kipindi chote cha uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani. Mkuu wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Giveness Aswile, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuvishukuru vyombo vya habari kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani