Waandishi fuateni maadili ya kazi— MCT
NA SAFINA SARWATT, MOSHI
WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kufuata maadili ya taaluma yao ili waweze kufanya kazi kwa uhuru zaidi.
Rai hiyo imetolewa jana na mwezeshaji kutoka Baraza la Habari Tanzania (MCT), Atilio Tagalile, alipokuwa akiwasilisha mada ya uchaguzi katika semina ya waandishi wa habari.
“Baadhi ya waandishi wa habari wamekiuka maadili ya
uandishi na wamegeuka na kuwa mashabiki wa wagombea wa nafasi mbalimbali za siasa.
“Kutokana na ushabiki huo, wameshindwa kuandika...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Oct
Nkinga: Watumishi wapya fuateni maadili
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga amewataka waajiriwa wapya wa wizara hiyo, kuwa wavumilivu na kufuata kanuni za maadili kwa kuwa wizara hiyo ni moja ya wizara zilizo karibu zaidi na wananchi.
11 years ago
Michuzi21 Jun
WAANDISHI WA HABARI WA MKOA WA NJOMBE WAKABIDHIWA VYETI VYA USHIRIKI WA MAFUNZO YALIYOTOLEWA NA MCT
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xQHICFAwNSQ/Xq7hT3shYvI/AAAAAAALo9Q/ozfUWUeir4IN__tyUQ_OCMpTt-8t8kglACLcBGAsYHQ/s72-c/DSC06868_1588499924450.jpg)
Waandishi zingatieni maadili, sheria
Na. Vero Ignatus
CHAMA cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania(JOWUTA) kimesisitiza umuhimu wa waandishi wa habari nchini kuendelea kuzingatia maadili, kanuni na sheria katika utekelezaji wa majukumu yao katika kipindi hiki cha mapambano dhidi ya janga la ugonjwa wa homa kali ya mapafu COVID19.
Akitoa salamu za maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Habari Duniani leo, Mwenyekiti wa JOWUTA, Claud Gwandu alisema uhuru wa habari, maadili, haki, usawa ni nguzo muhimu za kuzingatiwa na wanahabari...
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Waandishi watakiwa kufahamu maadili ya umma
WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kufahamu maadili ya utumishi wa umma na sera za afya ili watoe taarifa zisizo na ukinzani baina ya sekta hiyo na jamii. Akizungumza jana na...
9 years ago
Mtanzania15 Oct
Waandishi wa habari watakiwa kufuata maadili
NA ESTHER MNYIKA, DAR ES SALAAM
WADAU wa habari wamewataka waandishi wa habari kufuata maadili ya taaluma yao ili kuwezesha Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu kuwa huru na haki.
Akizungumza Dar es Salaam juzi katika Kongamano la Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC), Ofisa Habari kwa Umma wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, aliyemwakilishi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, alisema wadau wote wa habari wanajua kuwa uchaguzi mara nyingi unasababisha matatizo...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/UCDn4nJy3wo/default.jpg)
11 years ago
Mtanzania11 Aug
Jaji Lila awataka waandishi kuzingatia maadili
![Jaji Shaaban Lila](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Jaji-Shaaban-Lila.jpg)
Jaji Shaaban Lila
Veronica Romwald na Grace Shitundu, Dar es Salaam
VYOMBO vya habari nchini vimetakiwa kuzingatia maadili, weledi na miiko ya uandishi wa habari ili kuepusha migogoro inayoweza kuhatarisha amani ya nchi.
Agizo hilo limetolewa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na Jaji Shaaban Lila, wakati akizindua Bodi mpya ya Baraza la Habari Tanzania (MCT).
Alisema vyombo vya habari vinapaswa kutotumika na vyama vya siasa kwa kuandika habari zenye mrengo mmoja na kuepuka habari za...