Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WABUNGE WA CCM WAUNGURUMA HUKO MTERA MKOANI DODOMA‏

Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi katika kijiji Iringa Mvumi Jimbo la Mtera mkoani Dodoma ambapo Chama cha mapinduzi kimeendelea kuuelimisha umma juu ya masuala ya Maendeleo, utekelezaji wa ilani, maandalizi ya uchaguzi wa serikali za vijiji na mitaa, bunge la katiba na mambo yanayohusu maendeleo ya katika vijiji na wilaya zetu. Pia kuwakumbusha juu ya thamani ya muungano wetu na vipengele...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WABUNGE WA CCM WAUNGURUMA HUKO MTERA MKOANI DODOMA

Sehemu ya Wananchi wa Jimbo la Mtera,wakiwa wamekusanyika kwa wingi kwenye Mkutano wa hadhara uliofanywa na baadhi ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa kuuelimisha umma juu ya masuala ya Maendeleo, Utekelezaji wa ilani Chama, Maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za vijiji na mitaa, Bunge la Katiba na Mambo yanayohusu maendeleo ya katika vijiji na wilaya zetu. Pia waliwakumbusha juu ya thamani ya muungano wetu na vipengele muhimu vinavyojadiliwa ndani ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wabunge wa CCM waunguruma Mtera Mkoani Dodoma

IMG-20140824-WA0005

Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi katika kijiji Iringa Mvumi Jimbo la Mtera mkoani Dodoma ambapo Chama cha mapinduzi kimeendelea kuuelimisha umma juu ya masuala ya Maendeleo, utekelezaji wa ilani, maandalizi ya uchaguzi wa serikali za vijiji na mitaa, bunge la katiba na mambo yanayohusu maendeleo ya katika vijiji na wilaya zetu.

Pia kuwakumbusha juu ya thamani ya muungano wetu na vipengele muhimu vinavyojadiliwa ndani ya katiba.

IMG-20140824-WA0006

Mbunge wa jimbo la...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE JIMBO LA MTERA MKOANI DODOMA.

 Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha Manzase Kata ya Fufu wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipokuwa akiwahutubia leo jioni katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Manzase,Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma. Kinana akiwa amembatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, yupo katika ziara ya mikoa mitatu Dodoma,Arusha na Kilimanjaro ya kuhimiza,kukagua Ilani ya CCM ya mwaka 2010 na kusikiliza matatizo ya wananchi na kuyapati ufumbuzi. ...

 

11 years ago

GPL

MKOA WA DODOMA ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BODI YA HUDUMA ZA MAKTABA NCHINI MKOANI DODOMA‏


 
 Mkuu wa Mkoa Dodoma, Dr. Rehema Nchimbi (mwenye kilemba kichwani) akifanya ukaguzi wa vitabu na nyaraka za taarifa mbalimbali kwa ajili ya wasomaji , pembeni yake ni Mkutubi msaidizi wa maktabaa hiyo Ndg. Judith Lugongo, ukaguzi huo ulifanyika mapema Leo hii wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya bodi ya huduma za maktaba mkoa wa Dodoma.…
...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA AZINDUA RASMI UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI HUKO BAHI - MKOANI DODOMA.

 Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi wa wilaya ya Bahi muda mfupi kabla ya kuzindua rasmi kampeni ya upimaji wa saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake katika wilaya ya Bahi mkoani Dodoma  Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya kutokomeza saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake wa Wilaya ya Bah  Mama Salma Kikwete akionyesha vifaa mbalimbali vinavyotumika na madaktari wakati wa kuwapima wanawake ili kufahamu kama...

 

10 years ago

GPL

HOSPITALI YA AGA KHAN YATOA VIPIMO VYA BURE KWA WABUNGE DODOMA‏

Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi John Komba akipimwa urefu kwenye viwanja vya Bunge na jopo la madaktari kutoka hospitali ya Aga Khan. Zaidi ya wabunge 200 pamoja na wafanyakazi wa bunge walipata semina ya afya pamoja kupima afya zao bure mwishoni mwa wiki kwenye zoezi ambalo liliongozwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mh. Seif Rashid. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia… ...

 

11 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CCM DK JAKAYA KIKWETE AWASILI MKOANI MBEYA TAYARI KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM‏

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr.Jakaya Kikwete akishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili rasmi mkoani humo tayari kwa kuongoza maadhimisho ya Miaka 37 ya Chama cha Mapinduzi yanayofanyika kesho kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, ambapo amepokelewa na viongozi mbalimbali wa kitaifa wa Chama na Serikali pamoja na wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani