Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge wa CPA Tanzania watembelea Hifadhi za Taifa

 Afisa Utalii wa Hifadhi ya Ziwa Manyara,Jully Lyimo(wa pili kushoto)akiwaongoza Wabunge wa Chama cha Wabunge la Jumuiya ya Madola(CPA)tawi la Tanzania na Maafisa wa Bunge waliotembelea Hifadhi hiyo  Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge la Jumuiya ya Madola(CPA)tawi la Tanzania,Mheshimiwa Mussa Zungu akiwa na Wajumbe wa Bunge hilo na Maafisa wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania  kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, wakiwa kwenye ziara ya tathmini ya Maandalizi ya Mkutano wa 45 wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAREMBO MISS TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA MIKUMI

Warembo 30 wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 jana walitembelea hifadhi ya taifa ya Mikumi mkoani Morogoro kujionea vivutio mbalimbali vya utalii viliovyopo katika hifadhi hiyo ambapo waliweza kujionea wanyama wa aina mbalimbali wakiwepo, Tembo, Twiga, Swala, Viboko na Simba.  Kaimu Mhifadhi Utalii wa Hifadhi ya Taifa Mikumi, Apaikunda Mungure akigawa vipeperushi kwa warembo.Warembo walibahatika kuwaona Simba zaidi ya Saba wakiwamepumzika chini ya mti. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

MISS TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMAJARO (KINAPA)

 Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 wametembelea hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) na kujifunza mambo mengi kuhusiana na hifadhi hiyo ya mlima kilamanjaro. Pichani ni warembo hao wakipiga picha na mdau mkubwa wa masuala ya urembo mkoani Kilimajaro, Athena Mawalla wa mgahawa wa Meku's Bistro wakati warembo hao walipomtembelea wakiwa njiani kwenda KINAPA. Warembo wakiwa katika gari njiani kuelekea KINAPA. 

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

GPL

WASHIRIKI MISS TANZANIA 2014 WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI

Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 wakipozi jirani na bwawa la viboko na mamba lililopo katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini. Mwongoza watalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi…

 

10 years ago

Dewji Blog

Washiriki wa Miss Tanzania 2014 watembelea hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimajaro — KINAPA

FKB_9581

Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 wametembelea hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) na kujifunza mambo mengi kuhusiana na hifadhi hiyo ya mlima kilamanjaro. Pichani ni warembo hao wakipiga picha na mdau mkubwa wa masuala ya urembo mkoani Kilimajaro, Athena Mawalla wa mgahawa wa Meku’s Bistro wakati warembo hao walipomtembelea wakiwa njiani kwenda KINAPA.

Warembo wakiwa katika gari njiani kuelekea KINAPA.

Afisa Habari wa Kamati ya Miss Tanzania, Hidan...

 

10 years ago

Vijimambo

MABALOZI WA HIFADHI ZA TAIFA WA TANAPA WATEMBELEA BUNGENI DODOMA

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akisalimiana na mabalozi wa Hifadhi za Taifa zilizo chini ya TANAPA,waliotembelea Bungeni mjini Dodoma leo.Kikundi cha Vijana ambao ni mabalozi wa hifadhi za Taifa zilizo chini ya TANAPA wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu.Vijana hawa wako mjini Dodoma katika ziara ya kimafunzo.Picha na Deusdedit Moshi.

 

10 years ago

Michuzi

mabalozi wa Hifadhi za Taifa wa TANAPA watembelea Bungeni Dodoma leo

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akisalimiana na mabalozi wa Hifadhi za Taifa zilizo chini ya TANAPA,waliotembelea Bungeni mjini Dodoma leo. Kikundi cha Vijana ambao ni mabalozi wa hifadhi za Taifa zilizo chini ya TANAPA wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu.Vijana hawa wako mjini Dodoma katika ziara ya kimafunzo.Picha na Deusdedit Moshi.

 

11 years ago

Michuzi

Kamati ya Ardhi,Maliasili na Mazingira watembelea hifadhi ya taifa ya Mkomazi.

 Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Ardhi maliasili na mazingira Mh James Lembeli akiwa ameongozana na Naibu Waziri wa Maliasili na utalii Mhe. Mahamud Mgimwa wakisalimiana na wafanyakazi wa hifadhi ya Taifa ya Mkomazi.
 Wajumbe wa kamati ya Bunge ya Ardhi, maliasili na mazingira wakitembelea eneo la mradi wa kufuga faru pamoja na Mbwa Mwitu. Naibu waziri wa maliasili na mazingira ,Mahamud Mgimwa akiwa amemshika mtoto wa Tembo katika hifadhi ya taifa ya Mkomazi,wengine ni mwenyekiti wa...

 

11 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA WARSHA YA MASHIRIKIANO BAINA YA TANAPA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI



Bwawa la Viboko katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi.Mkuu wa Upelelezi mkoa wa Kilimanjaro Ramadhan Ng'anzi akichukua Taswira katika bwawa la Viboko.Baadhi ya Washiriki wa Warsha wakifurahia Mandhari tofauti katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

Ujumbe wa CPA watembelea Bunge la Singapore

Kiongozi wa Msafara wa Ujumbe wa CPA Kanda ya Afrika Mhe Zitto Kabwe akiwasilisha ujumbe maalum wa CPA kwa Bunge la Singapore ambayo ilipokelewa na Dr Lam Pin Min ambae pia ni Naibu Waziri wa Afya wa Singapore na Mwakilishi wa CPA Kanda ya Asia Kusini(kulia).Ujumbe wa CPA katika mazungumzo na Uongozi wa CPA Bunge la Singapore. Picha ya pamoja. Picha kwa hisani ya Ofisi ya Bunge.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani