Wabunge washangazwa na utoro wa mawaziri
WABUNGE jana walishangazwa na kitendo cha mawaziri na manaibu, kutohudhuria vikao vya Bunge, licha ya kuwepo kwa matukio muhimu kwa nchi yanayojadiliwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Wabunge vinara wa utoro
Mwenyekiti wa bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amewanyooshea kidole wabunge wa Bunge la Muungano kwamba wanaongoza kwa utoro kwenye vikao vya kamati.
10 years ago
Mwananchi23 Jun
MAONI : Utoro wa wabunge umeathiri Bajeti ya Serikali
Bunge kwa siku kadhaa limekuwa likijadili Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2015/16. Jambo la kusikitisha ni kuwa, kinyume na mijadala ya bajeti kuu za Serikali iliyofanyika miaka ya nyuma, mjadala wa bajeti ya mwaka wa fedha ujao umekuwa na upungufu mkubwa kutokana na kuhusisha idadi ndogo sana ya wabunge.
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Wabunge wawalipua mawaziri
Bunge limeendelea kuwa moto kwa viongozi wakati wabunge wakiwalipua mawaziri, huku wakimtaka Waziri wa Fedha, Saada Mkuya kufukuzwa kutokana na kukiuka Katiba na kumrushia bomu Lazaro Nyalandu kuwa anazunguka nje ya nchi na msichana kwa madai ya kutangaza utalii.
10 years ago
Mwananchi30 Nov
IPTL yazamisha mawaziri, AG, wabunge
Bunge limehitimisha mjadala wa Kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow kwa kupitisha maazimio manane, likiwamo la kuwawajibisha Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka.
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Faida ya wabunge kutokuwa mawaziri
Dodoma. Â Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, John Chiligati amesema mabadiliko ya Katiba yatakayofuta haki ya mbunge kuwa Waziri, yataongeza uwajibikaji kwa umma.
11 years ago
Mwananchi25 May
Lissu awalipua mawaziri, wabunge
>Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu jana amewalipua baadhi ya mawaziri na wabunge kwa kugeuka ombaomba katika mifuko ya hifadhi ya jamii.
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Msigwa ataka wabunge, mawaziri wabanwe
MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA) ameitaka Serikali kupeleka muswada bungeni kwa ajili kutungwa sheria ya kuwabana wabunge na mawaziri ambao hawasomeshi watoto wao wala kutibiwa ndani ya...
11 years ago
Mwananchi17 Dec
Wabunge wa CCM wawakalia kooni mawaziri mizigo
Wabunge 160 wa CCM wamejiorodhesha kuomba kuitishwa kwa kikao cha Kamati ya Wabunge hao kwa lengo la kuwajadili mawaziri wanaotajwa kuwa mizigo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania