Wachimbaji tanzanite washauriwa kulipa kodi
MBUNGE wa Simanjiro mkoani Manyara, James ole Millya (Chadema), amesema ipo haja ya kutunga sheria ndogo itakayowabana wachimbaji wakubwa na wadogo wa tanzanite katika machimbo ya Mererani wilayani humo, walipe kodi na tozo mbalimbali za halmashauri. Millya alisema ni vyema sasa kuangalia upya sheria zilizopo na kufanya marekebisho kwa kutunga sheria ndogo ili kuwabana wachimbaji na kampuni ya uwekezaji waweze kulipa tozo na kodi za halmashauri, vinginevyo mwisho wa siku wataachiwa mashimo...
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi29 Aug
Wachimbaji wadogo kuanza kulipa kodi
5 years ago
Michuzi
WALIOKWEPA KULIPA KODI WAHUKUMIWA KULIPA BILIONI 1.5 BAADA YA KUKILI KOSA


ALIYEKUWA Rais wa Kampuni ya Acacia, Deodatus Mwanyika na wenzake wamehukumiwa kulipa fidia ya Sh bilioni 1.5 baada ya kukiri mashitaka ya kukwepa kulipa kodi.
Pia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kulipa faini ya Sh milioni 1.5 1 ama kutumikia kifungo cha miezi minne gerezani iwapo watashindwa kulipa faini hiyo.
Mbali na Mwanyika washitakiwa wengine ni Meneja Uhusiano wa Mgodi wa Bulyanhulu, Alex Lugendo, Mkurugenzi mtendaji wa mgodi wa Pongea, North...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…
Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa kutoka kwa […]
The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...
10 years ago
Michuzi
WAFANYABIASHARA MANISPAA YA SUMBAWANGA WALALAMIKIA KODI MBALIMBALI SERIKALINI, MKUU WA MKOA WA RUKWA AWATAKA KUWA WAZALENDO KULIPA KODI KWA HIARI KUJENGA NCHI YAO

9 years ago
Global Publishers27 Dec
Wachimbaji wadogo wa Tanzanite wapinga kufungiwa migodi yao
Mwanachama wa chama cha wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite (Marema) Tawi la Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Omary Mandari akizungumza kwenye mkutano wao ambapo waliazimia kuandamana kwa amani kupinga migodi yao 19 kusimamishwa kufanya kazi.
Mwanachama wa chama cha wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite (Marema) Tawi la Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Zephania Joseph akizungumza kwenye mkutano wao ambapo waliazimia kuandamana kwa amani...
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Wachimbaji wadogo wakwepa kulipa mrabaha
9 years ago
Michuzi
wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani kupinga kufungiwa migodi yao


9 years ago
Habarileo21 Dec
Kampuni 27 za tanzanite zakwepa kodi
KAMPUNI 27 za kununua na kuuza madini ya tanzanite mkoani Arusha zilizosajiliwa, zinachunguzwa na serikali baada ya kubainika kukwepa kodi ya zaidi ya Sh bilioni 150 na ziko hatarini kufutiwa leseni.
9 years ago
Habarileo13 Dec
Walioshindwa kulipa kodi hadharani
MAKAMPUNI 15 yaliyokwepa kodi baada ya kutorosha makontena yao, yamejisalimisha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), lakini yameshindwa kulipa kodi ndani ya siku saba za msamaha wa Rais John Magufuli.