Wachimbaji wadogo ‘walilia’ leseni
Zaidi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu 7000 wilayani Nzega mkoani Tabora wameiomba Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini kuwapatia leseni ya uchimbaji katika mgodi mdogo wa dhahabu wa Mwanshina, uliopo pembezoni mwa mgodi mkubwa wa dhahabu wa Resolute.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo20 Jul
Madini wakabidhi leseni kwa wachimbaji wadogo
SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati na Madini imekabidhi leseni mbili zenye namba 1268 na 1269 kwa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika Kijiji cha Ishokelahela, wilayani Misungwi mkoani Mwanza.
11 years ago
Dewji Blog20 May
Wachimbaji wadogo wapewa mtaji na leseni za uchimbaji
Na Nathaniel Limu, Ikungi
KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Shanta Mining Ltd imetoa leseni tatu na mtaji wa shilingi milioni 40 kwa kikundi cha wachimbaji wadogo cha Aminika cha kijiji cha Mang’onyi Wilayani Ikungi, Mkoani Singida.
Kikundi hicho Aminika Gold Mine Co- Operative Society Ltd Mang’onyi, kimekabidhiwa leseni hizo hivi karibuni na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stepheni Maselle kwenye kijiji cha Sambaru.
Akikabidhi leseni hizo Naibu Waziri Maselle amewataka...
9 years ago
Habarileo13 Sep
Ruksa wachimbaji wadogo kumiliki idadi yoyote ya leseni
SERIKALI imesema wachimbaji wadogo wa madini wanaruhusiwa kumiliki idadi yoyote ya leseni za madini ilimradi waweze kuzifanyia kazi.
9 years ago
MichuziRUKSA WACHIMBAJI WADOGO KUMILIKI LESENI KADRI WAWEZAVYO
Mtaalamu kutoka Kitengo cha Leseni cha Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Nuru Shabani, akiwasilisha mada kwa wachimbaji...
9 years ago
MichuziWACHIMBAJI WADOGO SHINYANGA WAPATIWA MAFUNZO KUHUSU MFUMO MPYA WA UTOAJI LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-0AEqUsFVPPk/U2rqs0siQdI/AAAAAAAA-bE/-F-_grJSfUQ/s72-c/magori.jpg)
NSSF YATOA SEMINA KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WA WAMADINI-MWANZA
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Pinda akabidhi fedha za ruzuku kwa wachimbaji wadogo wadogo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Bw. Juma Digalu wa Kampuni ya Uchimbaji Mdini ya Mwalazi, hudndi ya Dola za Marekani 50,000 akiwa ni mmoja ni mmoja wa wachimbaji madini wadogowadogo waliopatiwa ruzuku na serikali kupitia Benki ya TIB. Hafla ya kukabidhi hundi hizo ilifnyika kwenye Chuo cha Madini cha Dodoma Aprili 9, 2014. Kushoto ni Waziri wa Nisahati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Stephen Masele na Kulia ni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
BENKI YA DUNIA YAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKABIDHI FEDHA ZA RUZUKU KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO,MJINI DODOMA