Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU WA TANZANIA DIASPORA WAKO NDANI YA MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA SABASBA.

Sehemu ya muonekano wa banda hilo ndani ya viwanja vya Mwalimu JK Nyerere kunakofanyuika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya saba saba.  Wadau mbalimbali wakipita kwenye banda hilo kujipatia maelezo ya hapa na pale.Wageni wote wanakaribishwa kwenye banda hilo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Armando Guebuze Wa Msumbiji afungua Maonyesho Biashara ya Kimataifa Mjinj Maputo,Tanzania yashiriki vyema

Pichani ni ndugu frank Mwega, Afisa wa Ubalozi anayeshughulikia masuala ya biashara na uchumi (Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Diplomasia ya Kiuchumi) akimuwakilisha Mhe. Shamim Nyanduga, Balozi wa Tanzania, Mozambique akitoa maelezo kwa Mhe. Armando Emilio Guebuza, Rais wa Jamhuri ya Mozambique kuhusu masuala ya Vivutio vya Utalii na Bidhaa zinazo zalishwa na viwanda na wajasiriamali wa Tanzania kwenye banda la Tanzania wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Maputo...

 

10 years ago

GPL

MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA YAZINDULIWA DAR

Mwenyekiti wa TCCAI, Francis Likwaro akijaribu ladha ya kahawa katika maonyesho hayo. …Akipewa maelezo na wafanyabiashara wa kigeni.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maonyesho ya biashara ya kimataifa kufanyika Mbeya

ZAIDI ya wafanyabishara 200 na kampuni mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali duniani wanatarajia kushiriki maonyesho ya biashara ya kimataifa katika kituo cha Mikutano cha Mkapa eneo la Sokomatola jijini Mbeya. Mwenyekiti...

 

11 years ago

GPL

VIDEO: MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR (SABASABA)

Baadhi ya matukio yaliyojiri katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam yaliyoanza Juni 28 na kufika tamati Julai 10,…

 

11 years ago

Michuzi

PSPF katika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam a.k.a Sabasaba

Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, hupata fursa ya kujionea na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo kujua fursa ya kujipatia mikopo ya nyumba kama huyu (Kushoto), aliyetembelea banda la PSPF lililoko kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini. Afisa wa PSPF, (Kushoto), akimpatia maelzo ya kina mwanachama huyu aliyefika kwenye banda hilo. Mwanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, (Kushoto), akiuliza maswali huku Afisa Masoko wa...

 

9 years ago

Michuzi

NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA ABITAT JIJINI DAR ES SALAAM

Ofisa Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mselem Mwanamsoga akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara, Edward Sungura (kulia), wakati wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yaliyoandaliwa na Umoja wa Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki (Abitat), yanayoendelea katika Ukumbi wa Diamond Jubilee. (Picha na Francis Dande). Baadhi ya watu wakipata huduma katika banda la NSSF. Ofisa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi...

 

10 years ago

Michuzi

USHIRIKI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KWENYE MAONYESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DARES SALAAM

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII  TANGAZO KUHUSU USHIRIKI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII  KWENYE MAONYESHO YA 39 YA  BIASHARA YA KIMATAIFA YA DARES SALAAMWizara ya Maliasili na Utalii inashiriki kwenye Maonyesho ya 39 ya  Biashara ya Kimataifa ya Dares Salaam (Saba Saba) yatakayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius.K.Nyerere,  Barabara ya Kilwa kuanzia tarehe 28 Juni hadi 8 Julai, 2015. Karibu kwenye Banda la Wizara ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA BIASHARA KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM.

 Wananchi wakiangalia kifaa kilichotengenezwa na Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa ajili kusoma kiwango cha maji kwa  bei  uliyoweka na fedha yake unatumbukiza kisha maji yanaanza kutoka walipotembelea maonyesho ya 39  ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Madhari ya maonyesho ya 39  ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Wananchi wakiwa katika Harakati za kutembelea mabanda  ya maonyesho ya 39  ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu...

 

11 years ago

Michuzi

Watanzania Watakiwa Kuchangamka Fursa za Biashar kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam DITF

Umetolewa mwito kwa Watanzania kuzichangamkia fursa mbalimbali za kibiashara, zinazoletwa na Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam,  DITF ambapo Maonyesho ya huu, yatajumuisha makampuni zaidi ya kimataifa toka nchi yatashiriki.  Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, TANTRADE, Bibi  Jaqueline Mneney Maleko wakati akizungumzia maandalizi ya Maonyesho ya 38  Kimataifa ya Dar es Salaam,  kwa waandishi wa Habari, ofisi za TANTRADE...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani