Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYABIASHARA WAASWA KUTOWAKIMBIA TRA

Afisa Msimamizi wa Kodi wa TRA Catherine Mwakilagala aki,fafanu;lia mfanyabiashara jambo
Afisam Msimamizi wa Kodi TRA Isihaka Sharif akihakiki cheti cha Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN)

…………………………………………………………………………

Na Oliver Njunwa

Wafanyabiashara katika Mkoa wa Dar es salaam wameshauriwa kutowakimbia maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanapowatembelea katika maeneo yao ya biashara bali watoe ushirikiano ili waweze kufaidi elimu na ushauri unaotolewa na maofisa hao.

Ushauri...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

TRA Pwani waaswa kutoa elimu

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imetakiwa kutoa elimu kwa wafanyabiashara hasa inapotokea mabadiliko katika mfumo wa ulipaji kodi ili kuepusha migogoro ya mara kwa mara kati ya mamlaka hiyo na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara waionya TRA

JUMUIYA ya Wafanyabiashara nchini (JWT), imesema kuanzia leo endapo kutatokea mgongano baina ya wafanyabiashara  na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu  suala la mashine za EFDs  wasije wakalaumiwa. Kauli hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

TRA yafundwa wafanyabiashara

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Manyara, imewataka wafanyabiashara kuendelea kutumia mashine za kielektroniki (EFD) ili kuwarahisishia utunzaji kumbukumbu na ukadiriaji kodi.

 

9 years ago

StarTV

Wafanyabiashara waaswa kuziwekea mihuri bidhaa zao

Wizara ya Viwanda na Biashara imewataka wafanyabiashara kuanza utaratibu wa kuweka mihuri katika bidhaa zao ili kudhibiti utengenezwaji wa bidhaa bandia ambazo hazina viwango vya kitaifa na kimataifa.

Hatua hiyo itasaidia kuimarisha soko la nje kutokana na bidhaa na malighafi za Tanzania kuwa na ubora unaokidhi mahitaji ya masoko mbalimbali duniani.

Sekta ya viwanda na biashara inatajwa kuwa sekta ambayo itaiwezesha Tanzania kuimarika kiuchumi kwa maendeleo ya taifa, Wizara ya Viwanda...

 

11 years ago

Habarileo

Wafanyabiashara waitunishia msuli TRA

MGOMO wa wafanyabiashara dhidi ya mashine za kielektroniki (EFDs) umetafsiriwa kuwa na ajenda ya siri kutokana na ushawishi unaodaiwa kufanyika nchi nzima huku katika maeneo mengine, ukiungwa mkono na wachuuzi wasiohusika na mashine hizo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara Tanga waivimbia TRA

Wafanyabiashara wenye maduka Mjini Tanga, wameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuzigawa bure mashine za kutolea risiti

 

11 years ago

Tanzania Daima

TRA yawatoa hofu wafanyabiashara

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewatoa hofu wafanyabiashara kutumia mashine za EFD kwani kodi inayokatwa ni asilimia 30 ya faida baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji na manunuzi. Kauli...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TRA kuwachukulia hatua wafanyabiashara

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mwanza, imesema haitasita kuwachukulia hatua za kisheria wafanyabiashara wenye mitaji kuanzia sh. milioni 18 ambao hawatumii mashine za elektroniki (EFD’s) kama ilivyoagizwa na Serikali....

 

10 years ago

Mwananchi

TRA Mbinga yawatuliza wafanyabiashara

Wafanyabiashara wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma wametakiwa kuendelea kuwa watulivu na kulipa kodi ya mapato kwa viwango vilivyowekwa kisheria hadi hapo watakapoelekezwa utaratibu mwingine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani