Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYAKAZI WA OFISI YA TAKWIMU WAJINYAKULIA MILIONI 3 KAMA MOTISHA YA UTUMISHI ULIOTUKUKA

  Ofisi ya taifa ya takwimu imetoa zawadi ya pesa kiasi cha milioni 3 kwa kila mmoja wa wafanyakazi wake wake waliofanya vizuri kazini kwa mwaka 2014/15 (PICHA NA JOHN BANDA)

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi

 Baadhi ya Wajumbe wa  Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi wakiwa katika mkutano wa baraza hilo uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Dar es Salaam mapema leo.Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu akifungua mkutano wa  baraza la wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Dar es Salaam mapema leo. Picha na Happy Shayo

 

9 years ago

Michuzi

Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi lafanyika

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu akifungua mkutano wa  baraza la wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Dar es Salaam mapema leo.Baadhi ya Wajumbe wa  Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi wakiwa katika mkutano wa baraza hilo uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Dar es Salaam mapema leo. 

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI KOMBANI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU

Mgeni rasmi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Selina Kombani akiwahutubia wajumbe waliohudhuria Kikao cha Pili cha Baraza la Nne la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu lililofanyika jana katika ukumbi wa Hazina Ndogo mkoani Dodoma.Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akielezea machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa Kikao cha Pili cha Baraza la Nne la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo lililofanyika jana katika ukumbi wa Hazina...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Fedha azindua baraza la nne la wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu

PICHA NAMBA 1

Mgeni rasmi Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) akiwaonesha wajumbe wa Baraza la Nne la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Mfumo wa Kushughulikia Malalamiko ulioandaliwa na Ofisi hiyo mara baada ya kuuzindua leo katika kikao cha kwanza cha Baraza hilo mkoani Tanga. Katikati ni Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Zanzibar Mohamed Hafidh Rajab na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa.

PICHA NAMBA 2

Mgeni rasmi Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) akiwaonesha...

 

11 years ago

Mwananchi

Ni utumishi uliotukuka wa Kardinali Pengo

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ameadhimisha miaka 30 ya uaskofu, 43 ya upadri na miaka 16 ya ukardinali.

 

11 years ago

Michuzi

KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA NNE LA WAFANYAKAZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU

 Mgeni rasmi Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) akiwaonesha wajumbe wa Baraza la Nne la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Mfumo wa Kushughulikia Malalamiko ulioandaliwa na Ofisi hiyo mara baada ya kuuzindua leo katika kikao cha kwanza cha Baraza hilo mkoani Tanga. Katikati ni Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Zanzibar Mohamed Hafidh Rajab na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa. Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) akiwaonesha wajumbe wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tano za Magufuli, Uadilifu, Uchapakazi, Ufuatiliaji, Utekelezaji na Utumishi Uliotukuka

MGOMBEA urais wa CCM, Dk John Magufuli amewataka wananchi kumchagua ili awe rais wa tano ajaye wa Tanzania huku akiahidi kushughulikia masuala mbalimbali ya wananchi na hivyo kuliletea Taifa maendeleo kwa muda wote atakaokuwepo madarakani.

Akizungumza na wananchi wa mkoani Lindi katika muendelezo wa kampeni zake, Dk Magufuli alisema akichaguliwa kushika nafasi hiyo, pamoja na mambo mengine atakayoyafanya atatumia utajiri wa gesi uliopo katika mikoa ya Kusini, kutoa ruzuku kwa vifaa vya...

 

9 years ago

Michuzi

TANO ZA MAGUFULI . UADILIFU .UCHAPAKAZI .UFUATILIAJI .UTEKELEZAJI NA UTUMISHI ULIOTUKUKA

MGOMBEA urais wa CCM, Dk John Magufuli amewataka wananchi kumchagua ili awe rais wa tano ajaye wa Tanzania huku akiahidi kushughulikia masuala mbalimbali ya wananchi na hivyo kuliletea Taifa maendeleo kwa muda wote atakaokuwepo madarakani.

Akizungumza na wananchi wa mkoani Lindi katika muendelezo wa kampeni zake, Dk Magufuli alisema akichaguliwa kushika nafasi hiyo, pamoja na mambo mengine atakayoyafanya atatumia utajiri wa gesi uliopo katika mikoa ya Kusini, kutoa ruzuku kwa vifaa vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani