Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafichueni wanaouza dawa nje ya utaratibu-NHIF

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umewataka wananchi pamoja na wahudumu katika sekta ya afya kufichua wizi unaofanywa na wanaouza dawa nje ya utaratibu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MSD yatoa utaratibu wa manunuzi ya dawa ndani ya bohari ya dawa

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifwani (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa kwa Umma kuhusu utaratibu wa manunuzi ndani ya bohari ya dawa. Kulia ni Mkurugenzi wa Manunuzi wa MSD, Heri Mchunga na Mwanasheria, Domonica Meena.

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YAKAMATA WATU WANAOTUMIA KADI ZA BIMA YA AFYA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA HOSPITALI YA REGENCY

1 Bw. Julius Mziray mkaguzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya Regency ya jijini Dar es salaam. Baada ya kumkamata mtu mmoja anayetuhumiwa kutumia kadi ya bima ya afya yenye namba 02-HCTP1801 ambayo inamilikiwa na Bw. Terry J. Maona kinyume na utaratibu.
Mtu huyo alikamatwa jana katika hospitali hiyo wakati akitaka kufanya vipimo vya (CityScan), ndipo mmoja wa wafanyakazi wa hospitali hiyo alipogundua na kupiga simu makao...

 

10 years ago

GPL

NHIF YAKAMATA WATU WANAOTUMIA KADI ZA BIMA YA AFYA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA HOSPITALI YA REGENCY‏

Bw. Julius Mziray mkaguzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya Regency ya jijini Dar es salaam. Baada ya kumkamata mtu mmoja anayetuhumiwa kutumia kadi ya bima ya afya yenye namba 02-HCTP1801 ambayo inamilikiwa na Bw. Terry J. Maona kinyume na utaratibu , Mtu huyo alikamatwa jana katika hospitali hiyo wakati akitaka kufanya vipimo vya (CityScan), ndipo mmoja wa...

 

10 years ago

GPL

MUHIMBILI VIFO NJE NJE KISA DAWA HAKUNA

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’I
NATISHA! Uhaba mkubwa wa madawa, ongezeko la ada ya kitanda na chakula katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, umesababisha watu wengi kupoteza maisha kufuatia wagonjwa kukosa huduma na hivyo kurejea majumbani mwao. Baadhi ya wagonjwa wakiwa katika moja ya wodi za Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa baada ya Bohari Kuu ya Madawa...

 

10 years ago

Habarileo

NEC kuelekeza utaratibu wa kura kutoka nje

Waziri Mkuu, Mizengo PindaTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekabidhiwa jukumu la kuangalia utaratibu utakaotumika kuwezesha Watanzania walio nje ya nchi kushiriki kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu unaofanyika Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

WAKALA WA HUDUMA ZA AJIRA ATANGAZA UTARATIBU WA KUZINGATIA KUUNGANISHWA NA FURSA NJE YA NCHI

Afisa Habari wa Wakala wa Ajira Tanzania, Jamila Mbarouk (kulia akizungumza) pamoja na Mratibu wa Huduma ya Ajira Tanzania, Joseph Haule Jamila akitoa ufafanuzi Wanahabari wakifuatilia tukio Afisa  Habari wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA), Jamila Mbarouk ametangaza utaratibu wa…

 

10 years ago

Michuzi

WADAU WA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA MATIBABU MKOANI RUKWA WAPEWA ELIMU YA UTARATIBU WA MIKOPO MBALIMBALI INAYOTOLEWA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)

Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Ndugu Smythies Pangisa akichangia na kufunga Semina maalum ya siku moja iliyoendeshwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kuwaelimisha wadau wa vituo mbalimbali vya kutolea huduma za matibabu Mkoani Rukwa juu utaratibu wa Mfuko huo katika kutoa mikopo ya vifaa tiba, dawa na ukarabati wa vituo vya kutolea huduma za matibabu. Lengo kuu la utaratibu huo ulioanzishwa na Mfuko wa Bima ya Taifa ni kuboresha huduma za matibabu kwa wanachama wake na watanzania kwa ujumla....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanachama NHIF watakiwa kutumia maduka ya dawa

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umewataka wanachama wake kupata huduma za dawa katika maduka yaliyosajiliwa na mfuko huo pindi wanapozikosa kwenye hospitali au vituo vya afya. NHIF...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani