Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAIMBAJI NYIMBO ZA INJILI WAAOMBA WATANZANIA KUJITOKEZA KATIKA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI

 Mwimbaji  wa nyimbo za Injili Upendo Nkone (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo katika ofisi za  Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha kuombea amani ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama  kuhusiana na kushiriki katika tamasha la kuombea amani kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu. Kulia ni Mwimbaji wa nyimbo za Injili John Lisu na kustoto ni Christophe Mwanganyira.Mwimbaji wa nyimbo za Injili John Lisu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI WA AFRIKA KUSINI SIPHO MWAKABANE KUSHIRIKI TAMASHA LA KUOMBEA AMANI OKTOBA 4 MWAKA HUU.

 Mwenyekiti wa  kamati ya maandalizi ya Tamasha la Amani linalotarajia kufanyika Oktoba 4 kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusina na Msanii wa Afrika Kusini,Sipho Mwakabane ambaye atatumbuiza katika tamasha  Oktoba 4 mwaka huu. Pia amesema kuwa msanii huyo wa nyimbo za Injili wa kimataifa. Na kulia ni Mratibu wa Tamasha la kuombea Amani, Hudson...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Membe awaasa waimbaji wa nyimbo za injili nchini kuwa chachu ya amani na uadilifu nchin

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard K. Membe (Mb.) amezindua albamu mbili za nyimbo za injili zinazokwenda kwa majina ya "Pisha Mbele" na "Ni Ujumbe wa Bwana" za mwimbaji Mercy Nyagwaswa katika hafla fupi ya uzinduzi iliyofanyika katika Ukumbi wa Ubungo Plaza uliopo Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Machi, 2015. Askofu Mstaafu na Baba mzazi wa Mercy Askofu Nyagwaswa (wa kwanza kulia) akiwa pamoja na Mchungaji David Mangoti (wa pili kulia) na Balozi Mstaafu Costa Mahalu...

 

10 years ago

Michuzi

UPENDO NKONE ACHOMOZA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI KATIKA UCHAGUZI MKUU

indexG MUIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili anayetamba katika muziki huo, Upendo Nkone amekubali kushiriki katika Tamasha la Kuombea amani katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama Nkone ni muimbaji wa kwanza wa Tanzania kukubali kushiriki katika tamasha la hilo la Amani linalotarajia kufanyika Oktoba 4.Msama alisema  wanaendelea na mchakato wa kuzungumza na waimbaji wengine ili kuwa na idadi...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA SALMA KIKWETE KATIKA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mchungaji Maboya mmoja wa viongozi walioshiriki Tamasha la kuombea amani kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa na maaskofu na wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini waimbaji mbalimbali wa muziki wa injili kutoka Tanzania na nje ya nchi kwenye Tamasha la kuombea Amani kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa hapa Dar es Salaam tarehe 4.10.2015.Mamia ya wananchi waliohudhuria...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 WASANI NYIMBO ZA INJILI KUSHUSHA UPAKO

Watumishi wa Mungu wanaofanya kazi ya kusambaza Injili kupitia karama ya uimbaji, Upendo Nkone, Ambwene Mwasongwe, Angela, Paul Clement, Martha Mwaipaja na wengine wengi wanatarajiwa kushusha upako wa nguvu ndani ya Uwanja wa Taifa, Agosti 8, 2014 katika Tamasha la Matumaini. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Upendo Nkone. Kwa mujibu wa mratibu wa tamasha hilo la kila mwaka, Luqman Maloto wasanii hao watafanya shoo ya kumtukuza...

 

10 years ago

Mwananchi

Tamasha la kuombea amani lisiruhusu matamko ya kisiasa

Tamasha la kuombea amani linafanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa likishirikisha vikundi mbalimbali vya muziki wa injili, wachungaji na maaskofu.

 

10 years ago

Michuzi

WACHUNGAJI 200, MAASKOFU 50 KUUNGANA NA JK TAMASHA LA KUOMBEA AMANI

Na Mwandishi WetuVIONGOZI  wa kiroho 250 wa madhehebu mbalimbali ya dini ya kikristo wamealikwa kushiriki kwenye Tamasha la Amani Jumapili wiki hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama ilieleza kuwa kati ya viongozi hao 200 ni Wachungaji na 50 ni Maaskofu.
“Idadi inaweza kuwa kubwa zaidi, lakini hadi sasa niseme hao ndiyo ambao tuna uhakika nao watashiriki katika Tamasha la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani