WAISLAM, WAKRISTO WAFANYA KONGAMANO LA AMANI
Katibu Mkuu wa Jopo la Mashehe Tanzania, Sheikh Hamis Mtaka akihutubia. Askofu wa EAGT, Philbert Mbepera akisisitiza jambo.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Sep
TPHA wafanya kongamano la kupinga matumizi ya bidhaa za Tumbaku kwa vijana wadogo
Mratibu wa Mradi wa Madhara ya Tumbaku (TPHA) Dk. Bertha T.A. Maegga akizungumza wakati akifungua kongamano hilo lililo washirikisha wadau mbalimbali kwa kutoa muhutasari wa Madhara ya Tumbaku. (Picha na Geofrey Adroph).
Na Andrew Chale, modewjiblog
[Dar es Salaam] Chama cha Afya ya Jamii nchini (TPHA), kimeendesha kongamano maalum kwa wanafunzi wa shule msingi zaidi ya Saba ndani ya Manispaa ya Kinondoni kwa lengo la kutoa elimu ya madhara yatokanayo na utumiaji wa bidhaa za Tumbaku...
10 years ago
Habarileo07 May
Ahmadiyya kuendesha kongamano la amani
JUMUIYA ya Ahmadiyya Muslim Jamaat (AHMADIYYA), Kanda ya Kati itafanya kongamano la kudumisha na kuilinda amani ya Tanzania ambayo inayoashiria kutaka kuchafuliwa na watu wachache.
10 years ago
Habarileo15 Feb
Viongozi wa dini kuzindua kongamano la amani Mwanza
VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya dini jijini hapa wanatarajiwa kuzindua Kongamano la Amani la siku moja linalotarajiwa kufanyika katika Viwanja vya Furahisha vilivyopo jijini hapa.
10 years ago
Dewji Blog09 Jul
Shirika la GPF laandaa kongamano kubwa la vijana la kujadili amani, kufanyika Zanzibar kuanzia julai 12, 2015
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation (GPF), Arnold Kashembe.

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation (GPF), Arnold Kashembe (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kongamano kubwa la vijana litakalofanyika Zanzibar kwa kipindi cha mwezi mzima kuanzia Julai 12 mwaka huu. Kongamano hilo litahudhuriwa na marais wastafu na viongozi maarufu. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa GPF nchini, Martha Nghambi na Mratibu wa...
10 years ago
Michuzi
Simu TV: Mahujaji wa Tanzania wafanya Ibada kuombea amani Tanzania wakati na baada ya uchaguzi mkuu
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
VijimamboSHIRIKA LA GLOBAL PEACE FOUNDATION (GPF) LAANDAA KONGAMANO KUBWA LA VIJANA LA KUJADILI AMANI, KUFANYIKA ZANZIBAR KUANZIA JULAI 12, 2015
10 years ago
Raia Mwema07 Oct
Tufanye yote, wimbo wetu uwe amani, amani, amani
Wiki hii Raia Mwema lilifanya mahojiano na mwanasheria mkuu wa serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani
Mwandishi Wetu
11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DK. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA 28 NIMR NA KONGAMANO LA WANASAYANSI WATAFITI LEO