Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKAZI 10000 KUNUFAIKA NA UKARABATI BWAWA LA KALEMAWE‏

Mshehereshaji wa kongamano la siku moja lililofanyika jijini Dar kuzungumzia ukarabati na uendeshaji wa bwawa la Kalemawe lililopo wilayani Same mkoani Kilimanjaro, Mtaalamu wa masuala ya fedha wa UNCDF, Bw. Imanuel Muro akisherehesha kongamano hilo. Katikati ni mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Same, Herman Kapufi akifuatiwa na Mkuu wa ushauri wa ufundi wa Mfuko wa Umoja wa mataifa wa Ukuzaji Mitaji (UNCDF), Bw. Peter Malika. Na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wakazi 10000 kunufaika na ukarabati bwawa la Kalemawe

DSC_0001

Mshehereshaji wa kongamano la siku moja lililofanyika jijini Dar kuzungumzia ukarabati na uendeshaji wa bwawa la Kalemawe lililopo wilayani Same mkoani Kilimanjaro, Mtaalamu wa masuala ya fedha wa UNCDF, Bw. Imanuel Muro akisherehesha kongamano hilo. Katikati ni mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Same, Herman Kapufi akifuatiwa na Mkuu wa ushauri wa ufundi wa Mfuko wa Umoja wa mataifa wa Ukuzaji Mitaji (UNCDF), Bw.  Peter Malika.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)

Na  Mwandishi Wetu

ZAIDI...

 

9 years ago

GPL

WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM KUENDELEA KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA MAWASILIANO‏

Ofisa Mkuu wa Idara ya Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania,Keith Tukei(katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo katika maduka ya Shoppers plaza Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.Wengine katika picha kushoto ni mteja wa kwanza kufika kupata huduma katika duka hilo Bw.Argylle Tsvakai na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia.… ...

 

9 years ago

Mwananchi

Wakazi 250 kunufaika na kiwanda cha mbao

Wakazi 250 wa Kijiji cha Ugwachanya, Kata ya Mseke wilayani hapa Mkoa wa Iringa, wanatarajia kunufaika na ajira zitakazotolewa na kiwanda cha kuweka dawa kwenye nguzo za umeme kitakapoanza kazi.

 

9 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAENDELEA KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA MAWASILIANO

  Ofisa Mkuu wa Idara ya Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania, Keith Tukei (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo katika maduka ya Shoppers plaza Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.Wengine katika picha kushoto ni mteja wa kwanza kufika kupata huduma katika duka hilo Bw.Argylle Tsvakai na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia. Mteja wa kwanza kufika katika duka jipya la Vodacom Tanzania Bw.Argylle Tsvakai...

 

11 years ago

GPL

WATEJA WA UTT KUNUFAIKA NA HUDUMA YA VODACOM M PESA‏


Afisa Mkuu Mwendeshaji wa  Dhamana ya Uwekazaji Tanzania (UTT) Simon Migangala  akifafanua  jambo  kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na wateja wa mfuko huo watakavyonufaika na utumiaji wa  huduma ya M-Pesa itakavyowawezesha wananchi  kununua Vipande vya mifuko ya Pamoja iliyo chini ya UTT   kwa njia rahisi na salama katika kufanikisha azima yao kujijengea maisha bora ya baadaye kwa...

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAENDELEA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA JINSIA‏

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakifuatilia mafunzo ya sheria inayomlinda mtoto pamoja na masuala mengine ya jinsia yaliyokuwa yakitolewa kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam leo na Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi   Dawati la Jinsia Mkoa  wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba (hayupo pichani).

  Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi… ...

 

9 years ago

GPL

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MTAKUJA YA JIJINI WAENDELEA KUNUFAIKA NA MRADI WA KOMPYUTA MASHULENI‏

Mwalimu wa masomo ya Sayansi wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam, Elibariki John akiwaelekeza wanafunzi wa kidato cha pili, Jacqueline James(kushoto) na Ibrahim Juma wa shule hiyo jinsi ya kutafuta taarifa za maarifa ya masomo ya sayansi kwa njia ya kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa...

 

9 years ago

GPL

WANAFUNZI SEKONDARI YA MAKUMBUSHO WAENDELEA KUNUFAIKA NA MRADI WA SMART SCHOOL CHINI YA VODACOM FOUNDATION‏

Mwalimu wa somo la Kompyuta mpakato wa Shule ya Sekondari ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, Josiah Kimaro akimfundisha somo la Kompyuta Ibrahim Athmani ambaye ni wanafunzi wa kidato cha Nne wa shule hiyo,Walipotembelewa na maofisa wa Taasisi ya Vodacom Foundation kujionea maendeleo ya mradi wa Smart school unaofadhiliwa na taasisi hiyo na kunaendeshwa na Learning In Sync kwa ajili ya wanafunzi wa shule za sekondari kupata...

 

11 years ago

GPL

WAKAZI WA KINONDONI WASOGEZEWA ZAIDI HUDUMA ZA MAWASILIANO‏

Mkuu Wa Idara ya Mauzo ya rejareja wa Vodacom Tanzania Upendo Richard(Katikati) akishirikiana na Msimamizi wa Duka jipya la Vodacom Kinondoni Donart Alwatani kukata utepe kuashiria kuanza rasmi kwa huduma kwenye duka hilo jipya lililopo eneo la Kinondoni Manyanya Dar es salaam. Kulia ni Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim. Duka hilo litakuwa likitoa huduma kwa siku saba za wiki ikiwemo siku za sikukuu.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani