Wakazi: I am single, I am married to my music
Rapper wa ‘Wanawake wa Dar’ bado hajampata msichana wa Dar es Salaam anayeweza kumuita mpenzi wake. Wakazi Wakazi ameiambia Bongo5 kuwa muziki wake ndio mke wake. “Wakati nautunga huu wimbo (Wanawake wa Dar) kuhusu wasichana nilikuwa nafikiria ile concept ya ‘love me or leave me alone’ kwamba sio muhimu unaongelea wanawake sijui hiki na hiki! […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
TheCitizen05 Jul
SINGLE IN THE CITY: Don’t fall for a married man
9 years ago
Bongo530 Nov
Music: Burna Boy feat. Wizkid – Single
![burna-boy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/burna-boy-300x194.png)
Muimbaji Burna Boy wa Nigeria ameachia wimbo mpya uitwao ‘Single’ kutoka kwenye album yake ya pili ‘On A Spaceship’. Kwenye wimbo huo uliotayarishwa na producer Simba Tagz kamshirikisha Wizkid. Usikilize hapa
11 years ago
Bongo523 Jul
New Music: Sauti Sol wadondosha single mpya ‘Sura Yako’
10 years ago
Bongo529 Oct
9 years ago
Bongo514 Nov
Mo Music kuachia single mpya ‘Skendo’ kwenye birthday yake Nov.14
![Mo Music skendo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Mo-Music-skendo-300x194.jpg)
Msanii aliyewashtua mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva kwa single yake ya kwanza ‘Basi Nenda’ mwaka jana, ambayo ilikuja kuwa kama ‘wimbo wa taifa’ kwa jinsi ilivyokubalika, Mo Music anarudi na single mpya iitwayo ‘Skendo’.
Novemba 14 ni birthday ya mwimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Moshi Katemi kutoka Mwanza, na ndio ameichagua kuwa siku ya kuiachia single hiyo ya tano baada ya ‘Nitazoea’.
‘Skendo’ imeandikwa na kutayarishwa na producer Lollipop ambaye ndiye aliyehusika na uandishi...
10 years ago
Bongo503 Nov
9 years ago
Bongo507 Oct
Music: Wakazi — Natokea Dar (Ojuelegba Refix)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm8OKMZb*1lnyvzNTl6OvDwximn3km0CVO1BXriyVTEviNCd5iTCNB0JhX4DDySm7tU9IctK-vVBAihCR5zIDY53/IMG_6657620x400.jpg?width=650)
WAKAZI WA SONGEA WASHUHUDIA BURUDANI YA KILI MUSIC TOUR
10 years ago
Bongo522 Jan
New Music: Wakazi f/ Gosby & Mic Lon – Usinshike Mkono (Explicit)