Wakazi wa Zanzibar waipongeza kampeni ya usalama barabarani ya “Wait to Send”
.jpg)
Wakazi wa Zanzibar wameipongeza kampeni ya”Wait to Send” inayohamasisha usalama barabarani kwa madereva. Kampeni hiyo inayoendeshwa na Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi la usalama barabarani na Vodacom Tanzania imefanyika Zanzibar mwishoni mwa wiki na kuwavutia wakazi wengi wa kisiwa hicho ambao walisema inaweza kwa kiasi kikubwa kupunguza tatizo la ajali kisiwani humo. Akiongea juu ya kampeni hiyo Kamishna Msaidizi wa Polisi wa Usalama Barabarani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
WAKAZI WA ZANZIBAR WAIPONGEZA KAMPENI YA USALAMA BARABARANI YA “WAIT TO SEND”
10 years ago
MichuziKAMPENI YA USALAMA BARABARANI YA" WAIT TO SEND"YAENDELEA KANDA YA ZIWA
10 years ago
Michuzi
Kampeni ya Usalama barabarani ya“Wait to Send”yawafikia madereva Mbeya

11 years ago
Michuzi03 Oct
10 years ago
Vijimambo06 Jan
KAMPENI YA USALAMA BARABARANI YA" WAIT TO SEND"YAENDELEA KANDA YA ZIWA
10 years ago
GPL
KAMPENI YA USALAMA BARABARANI YA“WAIT TO SEND”YAWAFIKIA MADEREVA MBEYA
10 years ago
GPLKAMPENI YA USALAMA BARABARANI YA" WAIT TO SEND"YAENDELEA KANDA YA ZIWA
10 years ago
Michuzi
Kampeni ya “Wait to Send” yaendelea Mkoa wa Pwani na Morogoro

10 years ago
Michuzi
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MAKUBALIANO YA MWENDELEZO WA KAMPENI ZA USALAMA BARABARANI BAINA YA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA,JESHI LA POLISI NA VODACOM TANZANIA
