VODACOM YAENDELEZA KAMPENI YAKE YA"WAIT TO SEND" YA WIKI YA USALAMA BARABARANI
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-uYqDj1nJx9U/VPVMtqtdYXI/AAAAAAAHHRs/KtefQH7r8Pw/s72-c/unnamed%2B(12).jpg)
Wakazi wa Zanzibar waipongeza kampeni ya usalama barabarani ya “Wait to Send”
Wakazi wa Zanzibar wameipongeza kampeni ya”Wait to Send” inayohamasisha usalama barabarani kwa madereva. Kampeni hiyo inayoendeshwa na Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi la usalama barabarani na Vodacom Tanzania imefanyika Zanzibar mwishoni mwa wiki na kuwavutia wakazi wengi wa kisiwa hicho ambao walisema inaweza kwa kiasi kikubwa kupunguza tatizo la ajali kisiwani humo. Akiongea juu ya kampeni hiyo Kamishna Msaidizi wa Polisi wa Usalama Barabarani...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-LnPfpf0QNLE/VJkWqNiOzWI/AAAAAAAG5Sk/JioQ_Btf6kQ/s72-c/003.MBEYA.jpg)
Kampeni ya Usalama barabarani ya“Wait to Send”yawafikia madereva Mbeya
![](http://3.bp.blogspot.com/-LnPfpf0QNLE/VJkWqNiOzWI/AAAAAAAG5Sk/JioQ_Btf6kQ/s1600/003.MBEYA.jpg)
10 years ago
MichuziKAMPENI YA USALAMA BARABARANI YA" WAIT TO SEND"YAENDELEA KANDA YA ZIWA
10 years ago
Vijimambo06 Jan
KAMPENI YA USALAMA BARABARANI YA" WAIT TO SEND"YAENDELEA KANDA YA ZIWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BybgAqvu3Omgzj5AZOLlRUjjFM3yNw10bjZGBvAYXHgYn9eKSC4*nej2LxcMeI-1l9-*94C3laMDCC1uiFN5X4RjGk0FaJn0/001.MBEYA.jpg?width=650)
KAMPENI YA USALAMA BARABARANI YA“WAIT TO SEND”YAWAFIKIA MADEREVA MBEYA
Ofisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Mbeya Mkunde Said (kushoto)akimpima kiwango cha pombe mwilini dereva wa basi la kwenda mikoani, Fikiri Sabigo kwa kutumia kifaa maalum wakati wa upimaji madereva ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani yaâ€Wait to Send†unaohamasisha madereva wa vyombo vya moto kutokutumia simu za mkononi wakati wakiwa wanaendesha...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3DtnypFvu9EnPpA-95e7mPFTVPW061-Kecf492m6iHcQ91xXHI4qN*GAMGDLCVxjbkZl4nkTZZunUBV6qE*pUYJrxfUz6HxI/001.ZANZIBAR.jpg)
WAKAZI WA ZANZIBAR WAIPONGEZA KAMPENI YA USALAMA BARABARANI YA “WAIT TO SEND”
Kamishna Msaidizi wa Polisi wa Usalama Barabarani wa Zanzibar, ACP Nassor A.Mohamed (kushoto) akikabidhiwa vitendea kazi, fulana, pete na stika ofisini kwake Malindi mjini Zanzibar na Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Kanda ya Zanzibar, Mohamed Mansour mwishoni mwa wiki kwa ajili ya mwendelezo wa kampeni ya usalama barabarani ya “Wait to Send†inayohamasisha madereva wa vyombo vya moto kutokutumia simu za mkononi...
10 years ago
GPLKAMPENI YA USALAMA BARABARANI YA" WAIT TO SEND"YAENDELEA KANDA YA ZIWA
Ofisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Mwanza 7171 Josephine (kushoto), akimpima kiwango cha pombe mwilini dereva Alex John wakati wa operesheni ya usalama barabarani iliyofanyika Mkoani humo ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani ya “Wait to Send†inayohamasisha madereva wa vyombo vya moto kutokutumia simu za mkononi wakati wakiwa wanaendesha kampeni hiyo inadhamiwa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-e9ngxiZVO8g/U-pfQ_qLNeI/AAAAAAAF_Bg/5jkhEvqaGn8/s72-c/unnamed%2B(29).jpg)
Vodacom yapiga jeki wiki ya usalama barabarani
Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania leo imetoa msaada wa shilingi milioni 40 kwa serikali ya Jamhuri ya Tanzania kwa kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani na Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani katika kufanikisha wiki ya usalama barabarani mwaka huu itakayozinduliwa rasmi siku chache zijazo mkoani Arusha. Hafla ya kukabidhi hundi ya fedha hizo imefanyika leo katika wizara ya Mambo ya Ndani ambapo Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mheshimiwa Mathias...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsukpBjfQnpDd07pLB5-49M1UDbZ272JstO-HmP-kkRuG*w5snp4UerHiB8uO8t2eddrbXBYEGWUl0igZ1TIyo9T2/001.WAZIRI.jpg?width=650)
VODACOM YAIPIGA JEKI WIKI YA USALAMA BARABARANI
Waziri wa Mambo ya ndani Mathias Chikawe,akipokea hundi yenye thamani ya shilingi Milion 40/=toka kwa Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa(kushoto) msaada huo umetolewa kwaajili ya maadhimisho ya wiki ya usalama barabarani Mkuu wa jeshi la polisi nchini Ernest Mangu na kulia ni Mkuu wa usalama barabarani Mohamed Mpinga.
Waziri wa Mambo ya ndani nchi Mathias Chikawe na Ofisa Mkuu wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania