Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WaKikurd wawakabili IS mlima Sinjar

Wapiganaji wa Kikurdi wapeleka kikosi Kaskazini mwa Iraq kupambana na wapiganaji wa Islamic State IS.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wakurdi wafanikiwa kuingia mji wa Sinjar

Wapiganaji wa Kikurdi wamefanikiwa kuingia mji wa Sinjar kaskazini mwa Iraq, siku moja baada yao kuanza operesheni ya kuutwaa kutoka kwa wapiganaji wa IS.

 

11 years ago

Mwananchi

Wazazi, walimu wawakabili watoto wangali wadogo

Nilieleza hapo nyuma kwamba walimu wana nafasi kubwa sana katika suala zima la malezi kwa watoto.

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MALIASILI YABARIKI KUANZISHWA KWA MFUKO WA KULINDA MLIMA KILIMANJARO NA MLIMA MERU

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza wakati wa kikao kilicho shirikisha Kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira,Wabunge katika majimbo ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro,Wakuu wa wilaya zinazopakana na mlima Kilimanjaro na mlima Meru,TANAPA na Idara ya Misitu,(kulia)ni kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Ibrahim Msengi.Naibu waziri wa TAMISEMI ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Siha ,akichangia wakati wa kikao cha kuanzishwa kwa mchakato wa uanzishwaji mfumo wa...

 

10 years ago

Vijimambo

HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO YATANGAZA OFA YA KUPANDA MLIMA HUO KWA WATALII WA NDANI WA AFRIKA MASHARIKI.

Mhifadhi utalii katka hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA),Eva Mallya akizungumza juu ya ofa iliyotangazwa na hifadhi hiyo ya kupanda mlima huo kwa siku moja na kurudi hadi kilele cha Shira.
Afisa masoko wa KINAPA ,Antypas Mgungusi akisistiza jambo wakati akizungumzia juu ya ofa ya safafri ya kupanda Mlima Kilimanjaro huku akishauri wenye sherehe zao kutumia nafasi hiyo kupanda Mlima huo kwa ajili ya kufanya sherehe zao,alitaja sherehe ambazo zinaweza fanyika katika hifadhi hiyo ni pamoja na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mlima Everest:Mlima wa Choo

Uchafu mwingi pamoja na kinyesi cha binaadamu huwachwa katika mlima wa Everest ambao ndio mlima mrefu duniani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani