Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKUSUDIA KUSAMBAZA HUDUMA YA MAKTABA KWA WENGI

Baada ya kuridhishwa na matumizi mazuri na mafanikio makubwa ya Maktaba yao ya kwanza waliyoifungua mwaka 2009 katika kijiji cha Ngongongare Mkoani Arusha,  Taasisis isiyo ya kiserikali ya The Crawford Smith Foundation yenye makazi yake nchini Marekani na ambayo ndiyo inayosimamia mradi wa uanzishwa na uendeshaji wa Maktaba hususani katika maeneo ya vijijini, sasa inakusudia kujenga maktaba nyingine sita katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Maktaba hiyo ya kwanza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA CHALINZE ATOA WITO KWA MAKAMBUNI YA MAWASILIANO KUSAMBAZA HUDUMA KWA WATEJA WAKE

Mbunge wa jimbo la Chalinze mkoani Pwani Mh. Ridhiwani Kikwete(kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo Chalinze mjini Mkoa humo. Katikati ni Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,(kulia)Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa kampuni hiyo Upendo Richard. Hafla hiyo imefanyika leo mkoani humo.Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa Vodacom Tanzania Upendo Richard(kulia)akimfafanulia jambo kuhusiana na simu aina...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE WA CHALINZE ATOA WITO KWA MAKAMPUNI YA MAWASILIANO KUSAMBAZA HUDUMA KWA WATEJA WAKE

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani Mh. Ridhiwani Kikwete (kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo Chalinze Mjini. Katikati ni Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (kulia) na Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa kampuni hiyo Upendo Richard. Hafla hiyo imefanyika leo mkoani humo.… ...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA TEMEKE ASHAURI VODACOM KUSAMBAZA ZAIDI HUDUMA KWA WATEJA WAKE

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Shophia Mjema wa kwanza (kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo Mbagala zakiemu jijini Dar es Salaam, katikati ni Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa Vodacom Tanzania Upendo Richard na Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Matina Nkurlu.Hafla hiyo imefanyika leo. Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa Vodacom Tanzania Upendo… ...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA YA KOROGWE ATOA WITO KWA KAMPUNI ZA MAWASILIANO KUSAMBAZA ZAIDI HUDUMA ZAO WILAYANI HUMO

Mfanyakazi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo mtaa wa manundu Korogwe mjini,Maudy Mbaga(kulia)akitoa huduma kwa wateja wa kwanza waliofika katika duka hilo baada ya kuzinduliwa rasmi na Mkuu wa Wilaya hiyo Mrisho Gambo(hayupo pichani). Baadhi ya wateja wakipatiwa huduma mbalimbali na mfanyakazi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo mtaa wa manundu Korogwe mjini, Abubakary Lubuva(kushoto)duka hilo lilizinduliwa rasmi...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KOROGWE ATOA WITO KWA KAMPUNI ZA MAWASILIANO KUSAMBAZA ZAIDI HUDUMA ZAO WILAYANI HUMO

Mfanyakazi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo mtaa wa manundu Korogwe mjini,Maudy Mbaga(kulia)akitoa huduma kwa wateja wa kwanza waliofika katika duka hilo baada ya kuzinduliwa rasmi na Mkuu wa Wilaya hiyo Mrisho Gambo(hayupo pichani).Baadhi ya wateja wakipatiwa huduma mbalimbali na mfanyakazi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo mtaa wa manundu Korogwe mjini, Abubakary Lubuva(kushoto)duka hilo lilizinduliwa rasmi na Mkuu wa wilaya hiyo Mrisho Gambo(hayupo pichani).Mkuu wa...

 

10 years ago

Habarileo

Huduma za maktaba zaimarika Pemba

WANANCHI wa kisiwa cha Pemba wameanza kufaidika na huduma za maktaba zinazopatikana katika kisiwa hicho, ikiwemo wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kampuni za mawasiliano zatakiwa kusambaza huduma kwa wateja

MBUNGE wa Chalinze mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete, ameshauri kampuni za mawasiliano kufungua vituo vingi vya utoaji huduma mkoani hapa ili kuwawezesha wateja wao kupata huduma hiyo kwa karibu. Akizungumza wakati...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania imeanzisha masomo ya jioni ya diploma ya ukutubi

1 (9)

Mkuu wa Kitengo cha Mipango kutoka Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania Bw. Comfort Komba akiwaeleza waandishi wa habari(hawapo pichani) Kuhusu mafanikio yaliyofikiwa na Ofisi hiyo ikiwamo ujenzi wa majengo ya chuo cha ukutubi na uhifadhi wa nyaraka kilichopo Bagamoyo na uzinduzi wa maktaba za wilaya za Kibaha, Chunya, Ruangwa, Ngara, Rulenge, Masasi na Mbulu, wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bi. Georgina Misama.

Na...

 

11 years ago

Michuzi

MKOA WA DODOMA WASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BODI YA HUDUMA ZA MAKTABA NCHINI

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema Nchimbi (mwenye kilemba kichwani) akikagua jengo la maktaba mkoa wa Dodoma kujionea mfumo wa vifaa vinavyotumika kutolea elimu na taarifa mbalimbali kwa njia ya video na sauti,  zoezi hili la ukaguzi lilifanyika mapema leo kwenye viwanja vya maktaba ya Dodoma wakati wa maadhimisho  ya miaka 50 ya bodi ya huduma za maktaba  Watumishi wa maktaba ya mkoa Dodoma wakiwa tayari kupokea wananchi wenye mahitaji mbalimbali ya huduma za maktaba kwa ajili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani