Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania imeanzisha masomo ya jioni ya diploma ya ukutubi

1 (9)

Mkuu wa Kitengo cha Mipango kutoka Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania Bw. Comfort Komba akiwaeleza waandishi wa habari(hawapo pichani) Kuhusu mafanikio yaliyofikiwa na Ofisi hiyo ikiwamo ujenzi wa majengo ya chuo cha ukutubi na uhifadhi wa nyaraka kilichopo Bagamoyo na uzinduzi wa maktaba za wilaya za Kibaha, Chunya, Ruangwa, Ngara, Rulenge, Masasi na Mbulu, wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bi. Georgina Misama.

Na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MKOA WA DODOMA WASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BODI YA HUDUMA ZA MAKTABA NCHINI

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema Nchimbi (mwenye kilemba kichwani) akikagua jengo la maktaba mkoa wa Dodoma kujionea mfumo wa vifaa vinavyotumika kutolea elimu na taarifa mbalimbali kwa njia ya video na sauti,  zoezi hili la ukaguzi lilifanyika mapema leo kwenye viwanja vya maktaba ya Dodoma wakati wa maadhimisho  ya miaka 50 ya bodi ya huduma za maktaba  Watumishi wa maktaba ya mkoa Dodoma wakiwa tayari kupokea wananchi wenye mahitaji mbalimbali ya huduma za maktaba kwa ajili...

 

11 years ago

GPL

MKOA WA DODOMA ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BODI YA HUDUMA ZA MAKTABA NCHINI MKOANI DODOMA‏


 
 Mkuu wa Mkoa Dodoma, Dr. Rehema Nchimbi (mwenye kilemba kichwani) akifanya ukaguzi wa vitabu na nyaraka za taarifa mbalimbali kwa ajili ya wasomaji , pembeni yake ni Mkutubi msaidizi wa maktabaa hiyo Ndg. Judith Lugongo, ukaguzi huo ulifanyika mapema Leo hii wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya bodi ya huduma za maktaba mkoa wa Dodoma.…
...

 

9 years ago

Habarileo

Bodi ya Maktaba yaja na mradi wa kujenga uwezo

BODI ya Huduma za Maktaba (TLSB) imeanzisha mradi wa maktaba kwa maendeleo wenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 630 ili kuzijengea uwezo kwa kuzifikia kada mbalimbali kwenye jamii.

 

11 years ago

Mwananchi

Masomo ya jioni ni fursa nzuri kwa wanaojiendeleza

Mwamko wa elimu umewaingia Watanzania wengi. Tulipoandika makala hivi karibuni kuhusu haja ya kujiendeleza ukubwani, wasomaji wengi walitupa mrejesho.

 

10 years ago

Habarileo

Huduma za maktaba zaimarika Pemba

WANANCHI wa kisiwa cha Pemba wameanza kufaidika na huduma za maktaba zinazopatikana katika kisiwa hicho, ikiwemo wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari.

 

11 years ago

Michuzi

WAKUSUDIA KUSAMBAZA HUDUMA YA MAKTABA KWA WENGI

Baada ya kuridhishwa na matumizi mazuri na mafanikio makubwa ya Maktaba yao ya kwanza waliyoifungua mwaka 2009 katika kijiji cha Ngongongare Mkoani Arusha,  Taasisis isiyo ya kiserikali ya The Crawford Smith Foundation yenye makazi yake nchini Marekani na ambayo ndiyo inayosimamia mradi wa uanzishwa na uendeshaji wa Maktaba hususani katika maeneo ya vijijini, sasa inakusudia kujenga maktaba nyingine sita katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Maktaba hiyo ya kwanza...

 

10 years ago

Michuzi

UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA BODI YA KOROSHO TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwa mamlaka aliyopewa chini  ya kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009  (Sura ya 203 ya Sheria za Tanzania), amemteua Mhe. Anna  Margareth Abdallah (MB) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Korosho. 
Aidha, Mhe. Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi hiyo ya Wakurugenzi kwa mujibu wa kifungu  cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009  (Sura ya 203 ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA WATAALAM WA HUDUMA ZA HABARI NA MAKTABA ZA AFYA AFRIKA (AHILA) JIJINI DAR

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akifungua mkutano wa 14 wa Chama cha Wanataaluma wa Habari za Afya Afrika (AHILA) .
Rais wa wa Chama cha Wanataaluma wa Habari za Afya Afrika (AHILA), Nasra Gathoni akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa 14 wa Chama cha Wanataaluma wa Habari za Afya Afrika (AHILA) unaoendelea katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. 
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akimkabidhi cheti mwanachama wa Chama cha Wanataaluma wa Habari za Afya Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani