Wakwepa kodi watorosha Sh409 bilioni kila mwaka
Tanzania imekuwa ikipoteza kiasi cha Sh409.2 bilioni (Dola za Marekani 248 milioni) kwa mwaka kutokana na udanganyifu katika uagizaji wa mafuta unaofanywa na baadhi ya kampuni za uchimbaji wa madini na uagizaji wa bidhaa zilizowekeza chini ya mpango wa Kanda Maalumu za Kiuchumi (Export Processing Zones – EPZ).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Wakwepa kodi walipa bilioni 10/-
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imekusanya Sh bilioni 10.75 kati ya Sh bilioni 80 zinazodaiwa kutoka kwa wafanyabiashara waliokwepa kodi kwa kupitisha makontena 329 bila kulipa ushuru.
Fedha hizo zimekusanywa ndani ya siku sita baada ya Rais John Magufuli kukutana na wafanyabiashara Ikulu jijini Dar es Salaam na kuwapa siku saba kulipa fedha hizo kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.
Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa...
11 years ago
Mwananchi09 Dec
Zitto: Sh2trilioni zinatoroshwa kila mwaka kukwepa kodi
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
Wateja wa Tigo Pesa kuvuna faida ya bilioni 3.3 kwenye malipo ya kila robo mwaka
Kampuni ya Tigo Tanzania imetangaza malipo ya faida ya hisa za tigo pesa kwa wateja wake katika robo mwaka mwingine, malipo haya ni jumla ya kiasa cha pesa bilioni 3.314 sawa na dola za kimarekani milioni 1.8. Huu ni ugawaji wa faida ya robo ya pili kwa mwaka huu.
Lengo letu ni kuhakikisha kuwa wadau wote wa Tigo Pesa, ambao ni pamoja na wateja binafsi, mawakala wa reja reja na washirika wetu wa kibiashara ambao watashiriki kwenye gawio la faida hii ni kutokana na thamani ya kietronikia...
10 years ago
Habarileo14 Nov
Wakwepa kodi sasa kufilisiwa
SERIKALI imesoma kwa mara ya pili bungeni, Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi (TAA) wa mwaka 2014, ambapo pamoja na mambo mengine, sheria hiyo itafanya wakwepa kodi kutangazwa kwenye vyombo vya habari.
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Wakwepa kodi sasa kuanikwa
NA THEODOS MGOMBA NA NJUMAI NGOTA
SERIKALI imewasilisha Bungeni muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi, ambao pamoja na mambo mengine, utaweka utaratibu wa kuwatangaza kwenye vyombo vya habari wakwepa kodi wote.
Akiwasilisha muswada huo bungeni jana, Waziri Fedha, Saada Mkuya Salum, alisema madhumuni ya muswada huo ni kuweka mfumo wa kisasa.
Waziri alisema nia ya kuwatangaza wakwepa kodi hao, ambao watathibitika kufanya hivyo, kutapunguza makosa sugu na ya makusudi.
Alisema mfumo huo wa kodi...
10 years ago
Habarileo22 Nov
Wakwepa kodi walalamikia uwingi na viwango
BAADHI ya wafanyabiashara wanaokwepa kulipa kodi, wamedai moja ya sababu inayofanya wao kushindwa kutimiza wajibu wao, ni uwepo wa viwango vya juu vya malipo ambavyo pia ni vingi.
9 years ago
Habarileo05 Dec
Siku 7 za wakwepa kodi kaa la moto
SIKU moja baada ya Rais John Magufuli, kutoa siku saba kwa wafanyabiashara waliopitisha makontena yao bandarini bila kulipa kodi, kujisalimisha wenyewe na kulipa fedha hizo za Serikali, baadhi ya wafanyabiashara hao tayari wameanza kulipa kodi waliyokwepa.
10 years ago
Habarileo08 Dec
TRA: Tutawatupa jela wakwepa kodi
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), Rished Bade amesema hakuna mtu aliye juu ya sheria ya ulipaji kodi halali, hivyo asiyetaka kulipa kodi kwa makusudi lazima atakutana na mkono wa sheria na kutupwa jela.
11 years ago
Habarileo19 Jun
Nchemba- Nipeni taarifa za wakwepa kodi
NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amewaomba wadau katika Sekta ya Usafirishaji na wabunge, kutoa taarifa kuhusu wamiliki wa malori wanaokwepa kodi, ili awachukulie hatua.