Walalamikia tozo la maji lisilorandana na kipato
Katibu mkuu wa jumuiya ya umoja wa serikali aa mitaa (ALAT), Habrahani Shamumoyo, akitoa nasaha zake kwenye hafla ya uzinduzi wa ofisi ya Jumuiya ya watumia maji (MWITIJA) kata ya Mgori Singida vijijini, Ofisi hiyo imejengwa kwa ufadhili wa serikali ya Sweden kupitia shirika lake la misaada la SIDA wa zaidi ya shilingi 42 milioni.Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone na Mkuu wa wilaya Singida, Amanzi.
Mkurungezi mtendaji wa ahalmashauri ya wilaya ya Singida, Hajat...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziBENKI YA EQUITY KUTOA MIKOPO YA MAJI KWA WANANCHI WA KIPATO CHA CHINI
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio)
Headlines za soka la bongo mtu wangu wa nguvu zimenifikia, safari hii sio kuhusu Simba na Yanga bali ni kuhusu staa wa soka aliyewahi kuvitumikia vilabu hivyo kwa nyakati mbili tofauti Danny Mrwanda, staa huyo ameingia kwenye headlines baada ya kuingia mkataba wa kuitumikia klabu ya Maji Maji FC ya Songea na kupewa malipo yake […]
The post Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Mtanzania04 Feb
Nyalandu: tozo kukokotolewa upya
Na Arodia Peter, Dar es Salaam
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, atatoa tangazo kwenye Gazeti la Serikali (GN) juu ya tozo mpya za hoteli za kitalii, baada ya kufanya upya ukokotoaji kwa kutumia kanuni namba 50 ya mwaka 2002.
Kauli ya Waziri Nyalandu, imekuja siku moja baada ya maazimio ya Bunge kumtaka kutoa tangazo kwenye Gazeti la Serikali (GN) kuhusu kuanza kutoza tozo mpya ya hoteli za kitalii zilizopo kwenye hifadhi za taifa.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es...
11 years ago
Mwananchi25 May
Tozo za mfuko wa fidia zakamilika
10 years ago
Michuzi30 Aug
Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda
![](https://2.bp.blogspot.com/-utueJlLvcrc/VAEFt9bWIqI/AAAAAAAAXXc/60Yejvxm-3s/s1600/Modesta%2BMushi.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-dJAlQfjgYfw/VAEFtuoqMYI/AAAAAAAAXXY/p7ed-tfkWT8/s1600/Mhandishi%2BJohn%2BKirecha.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/g7CYaJh1SvLuGfe*gDKzGkS8WV63zi63mPHP0ygdvsL6YQSLKA0ozti-Qa--5S5foeXaGNOdC9o1ZprSQfrqcTnN1NDiQIGq/d1.jpg?width=650)
BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-0ku_BmEH1gE/VfpARhEXKUI/AAAAAAABVRg/CA5s4iTlR9A/s72-c/RC%2BDOM%2B%25284%2529.jpg)
CHAMA CHA WASAMBAZA MAJI NCHI (AWAC) CHAWAKUTANISHA WADAU MBALIMBALI WA MAJI ILI KUJADILI NAMNA YA KULINDA NA KUVITUNZA VYANZO VYA MAJI
![](http://1.bp.blogspot.com/-0ku_BmEH1gE/VfpARhEXKUI/AAAAAAABVRg/CA5s4iTlR9A/s640/RC%2BDOM%2B%25284%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-nYaTmOUEGwQ/VfpAQkKxCkI/AAAAAAABVRM/fjDpVwB1e74/s640/RC%2BDOM%2B%25282%2529.jpg)
9 years ago
Habarileo11 Sep
Mgombea Chadema kufuta tozo hospitalini
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Kibaha Vijijini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Editha Babeiya ameahidi atakapochaguliwa ataondoa gharama za kujifungua hospitalini.
10 years ago
Mwananchi20 Feb
GHARAMA: ‘Tozo za huduma za simu hazizuiliki’