Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyalandu: tozo kukokotolewa upya

NyalanduNa Arodia Peter, Dar es Salaam
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, atatoa tangazo kwenye Gazeti la Serikali (GN) juu ya tozo mpya za hoteli za kitalii, baada ya kufanya upya ukokotoaji kwa kutumia kanuni namba 50 ya mwaka 2002.
Kauli ya Waziri Nyalandu, imekuja siku moja baada ya maazimio ya Bunge kumtaka kutoa tangazo kwenye Gazeti la Serikali (GN) kuhusu kuanza kutoza tozo mpya ya hoteli za kitalii zilizopo kwenye hifadhi za taifa.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tozo za mfuko wa fidia zakamilika

Dodoma. Serikali imekamilisha kanuni za tozo zitakazowabana waajiri wote wa sekta binafsi nchini kuchangia uendeshaji wa mfuko wa fidia kwa wafanyakazi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wamkaba Waziri tozo za mafuta

Kati ya mambo ambayo Waziri wa Fedha, Saada Mkuya atalazimika kufanya kazi ya ziada kutolea maelezo ni tozo za mafuta, maji na umeme.

 

10 years ago

Mwananchi

GHARAMA: ‘Tozo za huduma za simu hazizuiliki’

>Wakati Watanzania wakizidi ‘kutoboa’ mifuko yao kununua vifurushi vya kupiga simu na kutuma ujumbe wa mfupi, baada ya mabadiliko ya viwango vya huduma hizo, Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo imesema mabadiliko hayo hayazuiliki kutokana na changamoto za uwekezaji.

 

10 years ago

Habarileo

Sikika wapongeza kusitishwa tozo Muhimbili

SHIRIKA lisilo la Kiserikali la Sikika limepongeza Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kusitisha kutumika kwa viwango vipya vya gharama za matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Mgombea Chadema kufuta tozo hospitalini

MGOMBEA Ubunge Jimbo la Kibaha Vijijini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Editha Babeiya ameahidi atakapochaguliwa ataondoa gharama za kujifungua hospitalini.

 

10 years ago

Dewji Blog

Walalamikia tozo la maji lisilorandana na kipato

DSC00773

Katibu mkuu  wa jumuiya ya umoja wa serikali aa mitaa (ALAT), Habrahani Shamumoyo, akitoa nasaha zake kwenye hafla ya uzinduzi wa ofisi ya Jumuiya ya watumia maji (MWITIJA) kata ya Mgori Singida vijijini, Ofisi hiyo imejengwa kwa ufadhili wa serikali ya Sweden kupitia shirika lake la misaada la SIDA wa zaidi ya shilingi 42 milioni.Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone na Mkuu wa wilaya Singida, Amanzi.

DSC00774

Mkurungezi mtendaji wa ahalmashauri ya wilaya ya Singida, Hajat...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ifute tozo hizi mpya Muhimbili

Jiji la Dar es Salaam na miji mingine nchini imeanzisha utaratibu wa kutoza fedha kwa ajili ya maegesho ya magari sehemu za katikati ya miji. Utaratibu huu, kwa kiasi fulani unasaidia kupunguza wingi wa magari yanayoingia mjini kwa sababu zisizo na msingi na hivyo kufanya kwa kiasi fulani kuwe na ahueni ya maegesho kwa magari muhimu.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali nayo kuongeza tozo Uwanja wa Taifa

Wakati Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na klabu za Ligi Kuu zikivutana kuhusu makato ya wadhamini ya asilimia tano, Serikali ipo kwenye mchakato wa kuhakikisha inavuna pesa zaidi kupitia Uwanja wa Taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Tozo mafuta ya taa itawanyonga wanyonge

Hatua ya Serikali ya kupandisha maradufu tozo ya mafuta ya taa katika Bajeti ya 2015/16, imewaacha njia panda mamilioni ya wananchi masikini, hasa waishio vijijini. Ni hatua ambayo inaonekana bayana kufifisha matumaini yao na kuwafanya wajione kama raia wa daraja la pili, kujiona wako nje kabisa ya vipaumbele vya Serikali katika mipango yake ya maendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani