Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walezi wa Shule ya Wasichana ya WAMA-Nakayama wapigwa msasa

Untitled

Mkuu wa Kitengo cha Uragibishi na Mawasiliano kutoka Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Ndugu Philomena Marijani akiwakaribisha walimu na wageni waalikwa wakati wa sherehe ya ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo walimu wa Shule ya Sekondari WAMA-Nakayama iliyoko katika Kijiji cha Nyamisati huko Wilayani Rufiji yaliyofanyika shuleni hapo tarehe 15.9,2014.

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO

Walezi wameaswa kuwaelimisha, kuwalinda, kuwaandaa na kuwajali watoto wa kike namna ya kupambana na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

9 years ago

Michuzi

NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA- SHULE ZA SEKONDARI WAMA NAKAYAMA RUFIJI NA WAMA SHARAF LINDI

 Shule ya Sekondari ya WAMA- Sharaf, Mitwero Lindi

Shule ya Sekondari ya WAMA- Nakayama, Nyamisati -Rufiji



Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) inatangaza nafasi za kidato cha kwanza kwa wasichana katika Shule zake mbili za Sekondari:


(1)   Shule ya Sekondari WAMA -  Nakayama  iliyopo Kijiji cha Nyamisati Wilaya ya Rufiji , Mkoa wa Pwani:

(2)   Shule ya Sekondari ya WAMA- Sharaf iliyopo Mitwero katika  Manispaa ya Lindi


WAMA ni Taasisi isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa na Mhe. Mama Salma...

 

11 years ago

Michuzi

Shule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama wapewa msaada wa basi

Anna Nkinda – Maelezo
Shule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama inayomilikiwa  na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) imepatiwa msaada wa basi na kampuni ya Ashok Leyland ya jijini Dar es Salaam.
Makabidhiano ya basi hilo yamefanyika leo katika viwanja vya Taasisi hiyo iliyopo wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Akiongea mara baada ya makabidhiano hayo   Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete aliwashukuru viongozi wa kampuni hiyo kwa msaada walioutoa na kusema anaamini msaada huo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mahafali ya pili ya shule ya WAMA Nakayama yafana Nyamisati Rufiji

001

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha  Rose Migiro (katikati ), akikata utepe akizindua zahanati kwa  ajili ya matibabu ya  wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi  katika mazingira hatarishi ya WAMA  Nakayama iliyopo katika kijiji cha Nyamisati, wilayani Rufiji mkoani Pwani wakati  mahafali ya pili yaliyofanyika Octoba 27,2014 (kulia), Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, na kushoto ni Kaimu Balozi wa Japan  nchini, Kazuyoshi  Matsu.

002

Wangeni waalikwa wakiimba wimbo wa Taifa kabla...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana amsifu Mama Salma Kikwete kuanzisha shule ya WAMA Nakayama

 Katibu Mkuu wa CCM, ADULRAHMAN Kinana akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya WAMA NAKAYAMA aliposimama kwa muda akitokea ziara ya Kisiwa cha Mafia kwenda Dar es Salaam. Alimpongeza Mama Salma Kikwete kwa kitendo cha kuanzisha shule hiyo yenye manufaa makubwa kwa watoto ya kike wanaotoka sehemu mbalimbali nchini kwenda kusoma hapo. Pia alitumia furssa hiyo kuwapongeza walimu wa shule hiyo kwa kazi kubwa wanaoifanya kiasi cha kufanikisha wanafunzi kufanya vizuri katika mtihani wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mke wa Rais wa China aipa msaada Shule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama

KI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo rasmi na mwenyeji wake Mke wa Rais wa China Mama Peng Liyuan.

Na Anna Nkinda – Beijing, China

Mke wa Rais wa China Mama Peng Liyuan ameahidi kutoa vifaa vya shule vikiwemo vya maabara pamoja na vitabu kwa ajili ya shule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama ili  wanafunzi hao waweze kusoma vizuri masomo ya sayansi.

Mama Liyuan aliitoa ahadi hiyo  jana wakati akiongea na  mke wa Rais Mama Salma Kikwete katika ukumbi maarufu wa watu (Great hall of...

 

10 years ago

Vijimambo

TANGAZO NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE YA SEKONDARI YA WAMA - NAKAYAMA

t29
TANGAZO- NAFASI ZA KIDATO CHA KWANZA SHULE YA WAMA NAKAYAMA NOVEMBER 05 2014.doc by moblog

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani