Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliouawa kwa kulipa kisasi watambuliwa

Majina na miili ya watu saba kati ya tisa wanaodaiwa kuuawa katika mapigano ya jamii mbili za wafugaji wa Kabila la Wabarbag na Wasukuma katika Kijiji cha Kihale wilayani hapa, mkoani Pwani yametambuliwa huku miili hiyo ikiwa imeharibika vibaya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Rais Nkurunzinza aapa kulipa kisasi.

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amewapongeza wanajeshi wazalendo waliozuia mapinduzi na kurejesha hali ya usalama na utawala huru mjini Bujumbura.

Rais Nkurunziza amewataka waburundi wazalendo kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi utakaofanyika mwezi juni.

Rais huyo alikuwa Mjini Dar es Salaam Tanzania siku ya Jumatano kuhudhuria mkutano wa viongozi wa kanda ya Afrika Mashariki kundi la wanajeshi waasi walipotangaza ”Mapinduzi” dhidi ya serikali yake.

Viongozi watatu miongoni mwa makamanda6...

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wa Simba wapanga kulipa kisasi

Wakati Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizipiga na Mbunge Hamis Kigwangallah katika masumbwi, timu ya Wabunge wa Mashabiki wa Simba imetamba kulipa kisasi kwa timu ya Wabunge wa Yanga katika tamasha la Usiku wa Matumaini lililopangwa kufanyika Agosti 8 kwenye Uwanja wa Taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanakijiji walivyoua wanyamapori kulipa kisasi

Mara nyingi tumeshuhudia migogoro ya kimasilahi, uhasama na vitendo vya kulipizana visasi kati ya jamii zinazopakana na hifadhi, mamlaka za hifadhi kwa upande mmoja, wanyamapori na wawekezaji wa upande mwingine.

 

10 years ago

Mwananchi

Okwi aiongoza Simba kulipa kisasi Taifa

Dar es Salaam. Simba imelipa kisasi kwa Mgambo JKT ya Tanga baada ya kuifunga mabao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Toto wapania kulipa kisasi Kagera Sugar

Toto Africans imeapa kulipa kisasi cha kushushwa daraja miaka mitatu iliyopita na Kagera Sugar wakati watakapokutana Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Algeria yapania kulipa kisasi 1982

>Kocha Vahid Halilhodzic amesisitiza Algeria haijasahau kilichotokea katika fainali za Kombe la Dunia 1982, wakati wakijiandaa na mechi ya hatua ya 16 bora dhidi ya Ujerumani.

 

9 years ago

MillardAyo

Kutoka Zenji Mtibwa Sugar washindwa kulipa kisasi dhidi ya Azam FC (+Pichaz)

Michuano ya Kombe la Mapinduzi imeendelea tena usiku wa January 3 baada ya kuchezwa mchezo wa awali kati ya Dar Es Salaam Young African ya Tanzania bara dhidi ya Mafunzo FC ya visiwani Zanzibar, baada ya mchezo huo kupigwa na Yanga kuibuka na ushindi wa 3-0. Usiku wa January 3 ulichezwa mchezo wa pili wa […]

The post Kutoka Zenji Mtibwa Sugar washindwa kulipa kisasi dhidi ya Azam FC (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kilio na majonzi kwa waliouawa Mandera

Familia za wachimba machimbo ya kokoto waliouawa na Al Shabaab mjini Mandera leo waliwapokea wapendwa wao baada ya miili yao kufikishwa chumba cha kuhifadhi maiti cha City mjini Nairobi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani