Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wana Kariakoo watoa misaada katika kituo cha Yatima cha Al Madina Tandale leo

 Mwenyekiti wa Kariakoo Family Foundation Development (KFFD) Mohamed Bhinda akimkabidhi mlezi wa  kituo cha Yatima cha Al Madina Tandale jijini Dar es salaam leo. KFFD ni jumuiya ya watu wanaoishi ama waliopata kuishi eneo la Kariakoo ambao wameunda jumuiya hiyo  kudumisha umoja wao pamoja na kusaidiana katika shida na raha. Ujumbe wa KFFD ukiwa na mlezi wa  kituo cha Yatima cha Al Madina Tandale jijini Dar es salaam baada ya kukabidhi misaada leo.  Ujumbe wa KFFD ukiwa na watoto wanaolelewa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JOKATE ATOA MISAADA KITUO CHA KULEA YATIMA CHA EXTREME KILICHOPO TANDALE KWA BI MTUMWA, DAR ES SALAAM

Miss Tanzania namba mbili 2006, mwanamitindo na mcheza filamu, Jokate Mwegello, akicheza na mmoja wa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Yatima cha Extrem cha Tandale kwa Bi Mwamvua Jumanne, alipotembelea kuwapa zawadi ya Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya. Zawadi alizotoa ni mchele, unga wa sembe, sabuni na ndala zenye nembo za Kidoti. Jokate Mwegello, akicheza na mmoja wa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Yatima cha Extrem cha...

 

10 years ago

Michuzi

Jokate atoa misaada kituo cha kulea Yatima cha Extreme kilichopo Tandale kwa Bi Mtumwa, Dar es salaam

MISS Tanzania namba mbili 2006, mbunifu mavazi na muigizaji wa filamu za kibongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, jana ilitoa msaada wa vitu mbalimbali katika Kituo cha Kulea Yatima cha Extreme kilichopo Tandare kwa Bi Mtumwa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Mrembo huyo ambaye pia ni mkurugenzi wa kampuni ya Kidoti inayojihusisha na masuala ya urembo, alitoa msaada huo kama zawadi yake ya Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya kwa watoto hao kama sehemu ya kuwafariji ili nao kujiona wako sawa na...

 

10 years ago

Michuzi

KIKUNDI CHA WANAWAKE CHA WOMEN WITH VISION WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA KATIKA MSIMU HUU WA PASAKA


Wanakikundi wa women with vision wakiongozwa na mwenyekiti wao Herieth Makombe  wakiwa katika kituo cha msimbaz centre walipofika na kutoa misaada ya baadhi ya mahitaji katika kuwakumbuka watoto yatima katika msimu huu wa sikukuu za pasaka 

Baadhi ya mahitaji ambao walitoa katika kituo cha msimbaz centre katika kuawajali watoto yatima wa vituo vya msimbaz centre na mburahati.

 

10 years ago

GPL

LYALAMO FAMILY WATOA MISAADA KITUO CHA YATIMA GROUP TRUST FUND KILICHOPO CHANIKA, DAR

Baadhi ya Wanalyalamo wakijumuika na watoto wa Kituo cha Yatima Group Trust Fund. Baadhi ya Wanalyalamo Family katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Winfrida Lubanza (wa tatu kulia). Na mwandishi wetu WITO umetolewa kwa Watanzania nchini kujitolea kwa hali na mali kusaidia watu wenye uhitaji ikiwemo watoto yatima wanaolelewa kwenye vituo mbalimbali. Wito huo umetolewa jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo...

 

10 years ago

Michuzi

UJAMAA INTELLECTUALS NETWORK WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA YATIMA CHA MAUNGA CENTRE JIJINI DAR ES SALAAM

  Mwasisi na Mratibu Mkuu wa Kikundi cha Ujamaa Intellectuals Network Bw. Lusekelo Mwandemange akikabidhi msaada kwa Bi. Zainab Bakary Maunga wa kituo cha kulelea yatima cha Maunga Centre.Bi. Mwajuma Njaritta  kutoka kikundi cha Ujamaa Intellectuals Network akimkabidhi mmoja wa watoto Msaada wa vitabu kwa niaba ya watoto wengine katika kituo cha kulelea yatima cha Maunga Centre.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

DStv Tanzania yafuturisha Watoto Yatima wa kituo cha Al- Madina

Mkuu wa kituo cha Kulelea Watoto yatima cha Al-Madina, Bi. Kulthum Juma akizungumzia kuhusu kituo hicho pamoja na kutoa shukrani kwa kampuni ya Multichoice Tanzania kwa kuendelea kukisaidia kituo cha hicho ambacho kina takribani watoto 68 na pia kituo hicho kipo eneo la Tandale kwa Tumbo jijini Dar.

Ustadhi Mashaka Salim akitoa neno.

Mkurugenzi wa Multichoice Tanzania, Peter Fauel akichukua chakula wakati wa kuwafuturisha  watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Al-Madina kilichopo...

 

10 years ago

GPL

DSTV TANZANIA YAFUTURISHA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA AL- MADINA‏

Mkuu wa kituo cha Kulelea Watoto yatima cha Al-Madina, Bi. Kulthum Juma akizungumzia kuhusu kituo hicho pamoja na kutoa shukrani kwa kampuni ya Multichoice Tanzania kwa kuendelea kukisaidia kituo cha hicho ambacho kina takribani watoto 68 na pia kituo hicho kipo eneo la Tandale kwa Tumbo jijini Dar. Ustadhi Mashaka Salim akitoa neno. Mkurugenzi wa Multichoice… ...

 

10 years ago

GPL

DSTV TANZANIA YAFUTURISHA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA AL- MADINA DAR ES SWALAAM

 Meneja wa Fedha wa Multichoice Tanzania, Francis Senguji, miongoni mwa wafanyakazi wa kampuni hiyo wakipata futari   ....Akitoa huduma ya chakula kwa watoto yatima hii ikiwa ni njia mojawapo ya kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu.  Vinywaji mbalimbali vikiwa katika meza kwakila mmoja kujihudumia…

 

11 years ago

GPL

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA( TCAA) WATOA MSAADA WA VYAKULA MBALIMBALI KWA WATOTO YATIMA WANAOLELEA KATIKA KITUO CHA NEW LIFE ORPHANS HOME CHA KIGOGO JIJINI DAR ES SALAAM

Afisa habari wa Mamlaka ya  Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Ally Changwila  akiwakabidhi  msaada wa madaftari Rahma Seif na Yusra Yahaya  ambao ni watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha New Life Orphans Home kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam. Vyakula mbalimbali vilitolewa ikiwemo mchele na Maharage.
Afisa habari wa Mamlaka ya  Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Ally Changwila  (kushoto)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani