Wanabongo Fleva wa 5 Anaowakubali Wema Sepetu, Diamond Namba Moja!
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu pamoja na kutengena na mpenzi wake Nassib Abdul ‘Diamond’ lakini alipoamua kutaja wasanii wanaofanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva mtaliki wake huyo kampa namba moja katika wasanii watano ambao yeye anaona wanafanya vizuri katika muziki.
“Muziki umeshika kasi na kuna wasanii ambao wanafanya vinzuri kuliko wengine, kwangu Top 5 yangu 1 Nassib, wa pili ni Ashley, Ali kiba, Barnaba na wa tano ni mirrow hawa ni wasanii wanzuri wapo level za...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xkVCMRT4uG*LTfmFks30*xxf89TDOgSc1cpFKiIJA2hO9LEOvaBSf*fpqpodw7I*dWpGguyN4Q8ed7baVeAhOPPm0CgORzaP/ALIKIBA500.jpg?width=650)
WANABONGO FLEVA KUKIMBILIA SAUZ, NIGERIA TUNADANGANYANA!
10 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge
Mzee Majuto kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;
Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-9GRF6qSFToU/VB6-Q0Rz4QI/AAAAAAAAcA0/jRXKaIf9wm8/s72-c/meninah.jpg)
Wema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.
![](http://3.bp.blogspot.com/-9GRF6qSFToU/VB6-Q0Rz4QI/AAAAAAAAcA0/jRXKaIf9wm8/s640/meninah.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/O4qH*YKTcAWlw7hfNNHm-j*FvkpvmTQJWq*TLJ4pyEcZNea3N02yCfMDiMnzVHBgOQ4iEA2sHwLJtLQR-EGuo3eNu5dAGqWB/151.jpg?width=650)
DIAMOND AMPIGA VIJEMBE WEMA SEPETU
11 years ago
GPLWEMA SEPETU, DIAMOND WAKIJIACHIA CHUMBANI
9 years ago
Bongo Movies01 Jan
Wema Sepetu Amrushia kijembe Diamond!
SIMBA! Kufuatia lile sakata la jina la mnyama Simba ambapo Diamond amekuwa akijiita jina hilo siku za hivi karibuni na msanii Mr Blue kudai kuwa alilianzisha yeye kujiita simba huku mkongwe Afande Sele akisisitiza yeye ndiyo samba dume, mastaa wengi wa hapa bongo wamekuwa wakijiita majina ya wanyama ikiwa ni namna moja ya kuchombeza sakata hilo wakati msanii Alikiba akijiita kuwa yeye ndiyo balozi wa wanyama wote.
Naye staa wa Bongo Movies Wema sepetu hakuwa nyuma kwenye kuchombeza sakata...
10 years ago
CloudsFM15 Aug
DIAMOND:MARAFIKI NDIYO WANAOMPOTEZA WEMA SEPETU
STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemtupia vijembe mpenzi wake Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram usiku huu akionekana kuchukizwa na tabia ya staa huyo kupenda maisha ya starehe zisizo na faida.
Katika ujumbe huo, Diamond ameandika kuwa angewaona mashabiki wa mrembo huyo wana akili na mapenzi ya dhati kama wangemshauri apunguze mashoga wapenda anasa na kuacha starehe zisizo na faida na kutumia fedha kufanya mambo ya maendeleo kuliko kuvifaidisha viwanda vya...
10 years ago
CloudsFM23 Jan
WEMA SEPETU AKANA KUMDAI DIAMOND PLATINUMZ
Jana zilisambaa stori kwenye mitandao ya kijamii ambazo zilitoka kwenye gazeti la Mtanzania,ambazo zilidai kuwa Staa wa Bongo Fleva,Wema Sepetu anamdai aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz kiasi cha shilingi Milion 10 ambazo Wema alikopa kwenye Vikoba.
Wema amezungumza na xxl na kudai kuwa amestushwa na taarifa hizo na kwamba hajawai kumdai Diamond na hamdai na wala hiyo Saccos haijui.
‘’Nilivyozisikia hizo habari nilishangaa sana ni mtu tu kaamua kuzusha habari za uongo mimi na Diamond...