Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi lukuki wapata mikopo HELSB

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), mpaka sasa imetoa mikopo kwa waombaji wenye sifa wapya 40,836 kati ya waombaji 50,830 wanaostahili kupatiwa mikopo hiyo kwa mwaka wa masomo wa 2015/2016.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Waliomba mikopo HELSB kujulikana

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HELSB), imesema kuwa itatangaza rasmi majina ya wanafunzi waliokidhi vigezo vya kupata mkopo kwa mwaka wa masomo 2014/2015. Hayo yamesemwa...

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA MIKOPO YATAKIWA KUWA TAYARI KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI PINDI VYUO VITAKAPOFUNGULIWA

 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako akizungumza na Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya Juu (hawapo pichani)wakati alipofanya ziara Leo Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu Abdul-Razaq Badru akizungumza wakati  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako alipofanya ziara katika ofisi zao  zilizopo eneo la Tazara jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU YASOGEZA MBELE TAREHE YA MWISHO YA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO


Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa kuwasilisha maombi ya mikopo umeongezwa mbele hadi tarehe 31 Julai, 2015. 

Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu mbalimbali hawakuweza kufanya maombi ya mikopo katika muda uliopangwa. Itakumbukwa kuwa, awali Bodi ilianza kupokea maombi kwa njia ya mtandao tarehe 4 Mei, 2015 na mwisho wa kuwasilisha maombi ulipangwa kuwa tarehe 30 Juni, 2015. 

Kupitia...

 

10 years ago

Michuzi

MH.HAMAD RASHID AWAASA WANAFUNZI KUJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF ILI KUPATA MIKOPO YA ELIMU NA MIKOPO YA KUANZIA MAISHA

Mgeni rasmi Hamad Rashid ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Wawi kupitia CUF akizunguza na wanafunzi walioudhuria kwenye siku ya Career Day iliyofanyika kwenye viwanja vya chuo cha Biashara (CBE) jijini Dar es SalaamRais wa Serikali ya Wanafunzi Katika Chuo cha Biashara,(CBE),Ramadhani S Kirungi akiwakaribisha wageni mbalimbali katika siku ya "CAREER DAY" iliyofanyika katika viwanja vya Chuo hicho Jijini Dar es salaamAfisa wa PSPF Hadji Jamadary akiwa anafafanua na kuelezea  kuhusu na...

 

10 years ago

Michuzi

BODI YA MIKOPO YAANZA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO KUTOKA KWA WANAFUNZI KWA MWAKA WA MASOMO 2015-2016

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo, Bw. George Nyatega
Na Mwandishi Wetu
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa, Mei 1, 2015) imetoa mwongozo kwa wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo na ruzuku kwa ajili ya mwaka wa masomo 2015/2016 unaotarajiwa kuanza miezi michache ijayo.
Kwa mujibu wa mwongozo huo, ambao unapatikana katika tovuti ya Bodi (www.heslb.go.tz), waombaji wote wamepewa takribani miezi miwili kuwasilisha maombi yao kuanzia Jumatatu, Mei 4, 2015...

 

10 years ago

Habarileo

2,475 wapata mikopo elimu ya juu Zanzibar

WANAFUNZI 2,475 wa Zanzibar wanaosoma katika vyuo vya elimu ya juu nchini, wamepata mikopo ya kuendelea na masomo katika vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kwa mwaka wa fedha 2014-2015.

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi sayansi ‘kuula’ mikopo

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali imesema imeweka mkazo kwa wanafunzi wa masomo ya sayansi wapewe kipaumbele kupata mikopo ya elimu ya juu katika Bodi ya Mikopo ya Zanzibar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani