Wanafunzi walilia kuandikishwa kupiga kura
NA FARAJA MASINDE, DAR ES SALAAM
MTANDAO wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) umeipa siku saba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutoa ufumbuzi wa namna watakavyoandikishwa katika daftari la kudumu la kupigia kura kupitia mfumo wa BVR, kwa kuwa kuna mwingiliano na ratiba za masomo.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Kaimu Mwenyekiti wa TSNP, Shitindi Venance, alisema wanaiomba NEC ieleze jinsi gani wanafunzi walioko vyuoni na wale walioko sekondari za bweni ambao wana sifa za kupiga kura...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Sep
Wanafunzi kupiga kura walipojiandikisha
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema wanafunzi wa vyuo vikuu waliokuwa na sifa za kupiga kura na wamejiandikisha katika daftari la wapiga kura wataruhusiwa kupiga kura katika maeneo walipojiandikisha na si kwingineko.
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Wapiga kura kuandikishwa upya
KILIO cha muda mrefu cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutaka Daftari la Kudumu la Wapiga Kura liboreshwe kimepata jibu baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuamua...
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura
11 years ago
Michuzi
Tume ya Taifa ya Uchaguzi yasisitiza wapiga kura ndani ya Jimbo la Chalinze wajitokeze kwa wingi na kwenda kupiga kura


10 years ago
VijimamboWASIOONA WATISHIA KUTOMPIGIA KURA MWANASIASA AMBAYE HAJAWAWEKEA MAZINGIRA RAFIKI YA WAO KUPIGA KURA WAKATI WA UCHAGUZI MKUU
Na Dotto...
10 years ago
BBCSwahili07 May
10 years ago
Mwananchi22 Oct
10 years ago
Habarileo22 Jun
Watanzania milioni 24 kupiga kura
OFISI ya Taifa ya Takwimu imetoa makadirio ya idadi ya watu wanaotarajiwa kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 ambao wanakisiwa kuwa watafikia milioni 24.2 nchi nzima.
10 years ago
Mwananchi07 Sep
Kupiga kura dakika moja