Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAHABARI WAPATIWA ELIMU YA MFUMO UTAKAOTUMIKA KUBORESHA DAFTARI LA KUDUMU LA KUPIGA KURA.

 Mjumbe wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu John Mkwawa  wakati akisoma taarifa wakati   akifungua mkutano wa siku moja na waandishi wa habari wa Mkoa wa Iringa unaohusu uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya kwanza na matumizi ya Teknolojia mpya ya Biometric Voter Registration uliofanyika katika ukumbi wa ofisi za mkuu wa mkoa wa Iringa.  Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo wa NEC kuhusu uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

NEC yaanza uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa (BVR)

jaji..3

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) hapa nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jana, kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Liana Hassan na kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Joseph Mchina.(PICHA ZOTE NA HILLARAY SHOO Mo Blog, SINGIDA).

MWENYKIT

Na Hillary Shoo, SINGIDA.

TUME ya Taifa ya Uchaguzi imeanza mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura,kwa kuwashirikisha kwa karibu waandishi wa habari hapa nchini.

Lengo la...

 

11 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA MFUMO MPYA WA (BVR

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi hapa nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jana, kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Liana Hassan na kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Joseph Mchina.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi imeanza mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura,kwa kuwashirikisha kwa karibu waandishi wa habari hapa nchini.
Lengo la kuwashirikisha waandishi wa habari ni kutokana na...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA MFUMO WA BVR

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWANANCHI wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza katika zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura kwa mfumo wa BVR lililoanza leo.
Wakizungumza na Globu ya Jamii kwa nyakati tofauti walisema zoezi linaenda vizuri lakini linakabiliwa na changamoto chache ambazo zikitatuliwa wananchi wote watajiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura.
Akizungumzia suala kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ,Salumu Abbakari Mkazi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU WAPIGA KURA RASMI KWA MFUMO WA BVR MKOANI KAGERA KUANZIA MEI 21 HADI JUNI 18, 2015

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuzindua rasmi uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura kwa kutumia mfumo wa kielektroniki wa (Biometric Voters Registration BVR) mkoani Kagera katika Manispaa ya Bukoba kesho tarehe 21/05/2015 kuanzia asubuhi saa mbili. 

Zoezi la uzinduzi litaongozwa na Mkuu wa mkoa wa Kagera Mhe. John Mongella katika mtaa wa Pwani eneo la uwanja wa ndege wa Bukoba kata ya Miembeni Manispaa ya Bukoba. Uzinduzi huo utafanyika katika Halmashauri zote za wilaya siku hiyo ya...

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU WAPIGA KURA RASMI KWA MFUMO WA BVR MKOANI KAGERA KUANA KESHO MEI 21, 2015 HADI JUNI 18, 2015


Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuzindua rasmi uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura kwa kutumia mfumo wa kielektroniki wa (Biometric Voters Registration BVR) mkoani Kagera katika Manispaa ya Bukoba kesho tarehe 21/05/2015 kuanzia asubuhi saa mbili. Zoezi la uzinduzi litaongozwa na Mkuu wa mkoa wa Kagera Mhe. John Mongella katika mtaa wa Pwani eneo la uwanja wa ndege wa Bukoba kata ya Miembeni Manispaa ya Bukoba. Uzinduzi huo utafanyika katika Halmashauri zote za wilaya siku hiyo ya...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI


Kama inavyofahamika, chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1997 na Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 ya mwaka 2010, jukumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kusimamia na kuendesha Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani kwa Tanzania Bara. Aidha, Sheria ya Kura ya Maoni imezipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar jukumu la kuendesha Kura ya Maoni kwa ajili ya kuhalalisha Katiba Inayopendekezwa. Kwa mujibu wa Katiba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani