WANAHABARI WATEMBELEA GEREZA KUU LA WANAWAKE KINGOLWIRA - MOROGORO
Mkuu wa Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira, Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Loyce Ruhembe akiwakaribisha Wanahabari ambao wakitembelea gerezani hapo Desemba 19, 2014. Wanahabari hao wapo katika ziara ya kikazi katika miradi mbalimbali ya Uzalishaji mali inayotekelezwa kwa mafanikio makubwa na Jeshi la Magereza(kushoto) ni Mkuu wa Magereza Mkoani Mororogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Kato Rugainunula.
Wafungwa wa kike wa Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira - Morogoro wakifuma...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
WANAHABARI WATEMBELEA GEREZA KUU LA WANAWAKE KINGOLWIRA - MOROGORO, WAMPONGEZA KAMISHNA JENERALI MINJA KWA JUHUDI KUBWA ZA MABORESHO NDANI YA MAGEREZA NCHINI
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Vijimambo18 Dec
ZIARA YA KIKAZI YA WANAHABARI KATIKA UJENZI WA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA IDETE MKOANI MOROGORO

5 years ago
Michuzi
TANESCO MOROGORO WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA WAREKEBISHWA GEREZA LA KINGORWUILA


Wafanyakazi wa TANESCO Mkoa wa Morogoro wakisheherekea siku ya Wanawake Duniani katika viwanja vya Jamuhuri Manispaa ya Morogoro
…………………………………………………………
NA FARIDA SAIDY,MOROGORO
Jamii imeaswa kusaidia watu wenye uhitaji wakiwemo walioko magerezani hususani wanawake kwa kuwa bado wanauhitaji wa vitu mbalimbali kama binaadamu wengine walioko uraiani.
Wito huo umetolewa na meneja wa TANESCO Mkoa wa Morogoro Mhandisi Fedgrace Shuma baada ya kutembelea gereza la wanawake la kingorwuila lililopo...
5 years ago
Michuzi
MAAFISA WASHIRIKI KUTOKA CHUO CHA ULINZI WA TAIFA(NDC) WATEMBELEA KIWANDA CHA GEREZA KUU UKONGA JIJINI DSM


10 years ago
Michuzi
WAKUU WA TAASISI ZA MAGEREZA KUTOKA NCHI ZA AFRIKA WATEMBELEA KIWANDA CHA VIATU CHA GEREZA KUU KARANGA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO


11 years ago
GPLUZINDUZI RASMI WA MAISHA PLUS, MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2013 , KINGOLWIRA MOROGORO WAFANA
10 years ago
MichuziWANAWAKE WA INDIA WATEMBELEA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MKURANGA
10 years ago
Habarileo06 Feb
‘Wanawake wenye watoto wawekwe gereza maalumu’
MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya amependekeza sherehe za maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini zitumike kwa wadau mbalimbali na viongozi wa dini kuchangia fedha ili watoto wanaoishi na mama zao magerezani waweze kuishi maisha ya staha kwa kujengewa jengo lao.
11 years ago
MichuziWAHARIRI NA WANAHABARI WATEMBELEA HIFADHI YA KISIWA CHA SAANANE JIJINI MWANZA