Wanajeshi Afghanistan wajaribu kukomboa Kunduz
Wanajeshi nchini Afghanistan wanajizatiti kujaribu kuukomboa mji wa Kunduz, uliotekwa na wapiganaji wa Taliban.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili12 Nov
Wakurdi wajaribu kukomboa mji kutoka kwa IS
Wapiganaji wa Kikurdi kaskazini mwa Iraq wameanzisha operesheni ya kuukomboa mji wa Sinjar, ulioko karibu na mpaka wa nchi hiyo na Syrian kutoka kwa wapiganaji wa Islamic State.
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Marekani yalaumu Afghanistan kwa shambulio Kunduz
Marekani amesema wanajeshi wa Afghanistan ndio walioomba majeshi ya taifa hilo yashambulie kliniki iliyokuwa ikitumiwa na shirika la MSF mjini Kunduz.
11 years ago
BBCSwahili17 Dec
Wanajeshi 6 wa US wafariki Afghanistan
Wanajeshi sita wa Marekani wamefariki katika ajali ya ndege Kusini mwa Afghanistan ambayo kiini chake hakijajulikana.
10 years ago
BBCSwahili11 Dec
Wanajeshi wauawa Afghanistan
Polisi nchini Afghnaistan wamesema wanajeshi sita wameuawa katika shambulio la bomu mjini Kabul.
10 years ago
BBCSwahili29 Jun
Wanajeshi 11 wauawa Afghanistan
Wapiganaji wa Taliban nchini Afghanistan wamedaiwa kuwaua wanajeshi 11 katika jimbo la Herat magharibi mwa taifa hilo.
11 years ago
BBCSwahili06 Mar
Wanajeshi watano wauawa Afghanistan
Wanajeshi watano wa Afghanistan wameuawa kwa shambulio la anga lililotekelezwa na majeshi ya NATO
10 years ago
BBCSwahili20 Jul
Marekani yawaua wanajeshi wa Afghanistan
Askari 8 wa Afghanistan wamekufa katika shambulizi la anga la Marekani kwenye kituo cha kijeshi cha ukaguzi katika jimbo la Logar
11 years ago
BBCSwahili25 May
Obama awazuru wanajeshi Afghanistan
Rais Obama aenda wasifu wanajeshi wa Marekani kabla ya wanajeshi hao kuondoka Afghanistan
9 years ago
BBCSwahili24 Dec
Taliban wakamata wanajeshi - Afghanistan
Kikosi kidogo cha majeshi ya serikali ya Afghanistan kimeripotiwa kushikiliwa katika kambi ya kijeshi kusini mwa nchi hiyo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania