Wakurdi wajaribu kukomboa mji kutoka kwa IS
Wapiganaji wa Kikurdi kaskazini mwa Iraq wameanzisha operesheni ya kuukomboa mji wa Sinjar, ulioko karibu na mpaka wa nchi hiyo na Syrian kutoka kwa wapiganaji wa Islamic State.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili29 Sep
Wanajeshi Afghanistan wajaribu kukomboa Kunduz
Wanajeshi nchini Afghanistan wanajizatiti kujaribu kuukomboa mji wa Kunduz, uliotekwa na wapiganaji wa Taliban.
9 years ago
BBCSwahili13 Nov
Wakurdi wafanikiwa kuingia mji wa Sinjar
Wapiganaji wa Kikurdi wamefanikiwa kuingia mji wa Sinjar kaskazini mwa Iraq, siku moja baada yao kuanza operesheni ya kuutwaa kutoka kwa wapiganaji wa IS.
10 years ago
Michuzi02 Mar
Halmashauri ya mji wa Kahama yapokea ushuru wa asilimia 0.3 kutoka mgodi wa Buzwagi
Kampuni ya ACACIA kupitia mgodi wake wa Buzwagi uliopo kwenye halmashauri ya mji wa Kahama,imeipatia ushuru wa asilimia 0.3 (0.3%) ya mapato ghafi halmashauri hiyo,ikiwa ni ushuru kwa kipindi cha miezi sita (Julai - Disemba,2014) ambayo ni zaidi ya shilingi za kitanzania millioni 800,uliokabidhiwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama.Kaimu Meneja Mkuu wa mgodi wa Buzwagi ulio chini ya Kampuni ya ACACIA,Ing. Mutereko Muganda (wa pili kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye ...
9 years ago
Raia Mwema23 Sep
Kazi ni kukomboa au kukomoa tu?
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
9 years ago
BBCSwahili14 Aug
Operesheni kali kukomboa Sirte Libya
Wizara ya ulinzi mjini Tripoli,imesema imeanzisha operesheni kali kuikomboa mji wa sirte kutoka kwa wanamgambo
10 years ago
BBCSwahili27 Jan
Tumesambaratisha IS,Wakurdi
Serikali ya Kurdi imesema tayari imekwisha sambaratisha kikundi cha wapiganaji wa Islamic State.
10 years ago
GPLPSPF NA MAX MALIPO WAUNGANA KUKOMBOA WAJASIRIAMALI
Mjomba Band ikitoa burudani wakati mambo yakiwekwa sawa katika hafla hiyo.
Kiongozi wa Mjomba Band, Mrisho Mpoto, akinogesha mambo kwa waliohudhuria.
Mkurugenzi wa Mfuko wa PSPF, Adam Maingu, akifungua mkutano huo kwa risala fupi.…
5 years ago
MichuziWAZIRI KAIRUKI: MFUKO WA KUKOPESHA WAWEKEZAJI KUKOMBOA WENGI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akizungumza wakati wa Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki na Wanachama wa Chemba ya Wafanyabiashara wa Uswidi na Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Mikutano Serena Hotel Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2020Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akiteta jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
9 years ago
BBCSwahili11 Oct
Uturuki yakana mauaji ya Wakurdi
Serikali ya Uturuki imekanusha madai ya vyama vya wa kurdi kuwa ilihusika katika milipuko hapo jana iliyosababisha vifo vya watu 95
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania