Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI KAIRUKI: MFUKO WA KUKOPESHA WAWEKEZAJI KUKOMBOA WENGI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akizungumza wakati wa Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki na Wanachama wa Chemba ya Wafanyabiashara wa Uswidi na Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Mikutano Serena Hotel Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2020Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akiteta jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KAIRUKI AWATOA HOFU WAWEKEZAJI NCHINI



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akioneshwa na kupewa maelezo kuhusu mtambo wa kuzalisha mvinyo kutoka kwa Mhandisi wa Kemikali na Mchakato tija wa kiwanda hicho, Daniel Mollel wakati wa ziara yake katika kiwanda cha kuzalisha mvinyo cha DOMIYA.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KAIRUKI AIPONGEZA BENKI YA TADB KWA KUWASHIKA MKONO WAWEKEZAJI WAZAWA

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Japhet Justine akizungumza mbele ya Waziri wa Uwekezaji, Angela Kairuki wakati wa ziara ya kutembelea ujenzi wa kiwanda cha Qstek wilayani Manyoni, Singida leo.

Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imeahidi kuiongezea mtaji Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) kutokana na namna inavyowasaidia wakulima na kuwapa kipaumbele wawekezaji wazawa.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angela Kairuki leo...

 

11 years ago

Habarileo

Mfuko wa maendeleo ya vijana kukopesha vikundi 453

SERIKALI inatarajia kukopesha vikundi vya uzalishaji mali vya vijana 453 katika mwaka wa fedha 2014/15 kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.

 

11 years ago

GPL

WENGI WASIFIA HUDUMA YA UPASUAJI WA KUTUMIA MATOBO ‘LAPAROSCOPIA’ KAIRUKI HOSPITAL

Madaktari wakianza kumfanyia Operesheni ya tumbo kwa ajili ya kuondoa mfuko wa nyongo, mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam kwa kutumia vifaa vya kisasa ambapo mgonjwa hufanyiwa upasuaji kwa njia ya matobo. Madaktari wakiendelea na upasuaji.…

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA PSPF YAFANA SABASABA WENGI WAJIUNGA NA MFUKO

·         ORIGINAL KOMEDI WAWA KIVUTIO
Siku ya PSPFiliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF ilifana na kuvutia mamia ya wananchi waliotembelea maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam yaliyomalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.Siku hiyo ni maaluma kwa ajili ya kutoa elimu ya Mfuko wa PSPF kwa umma ili waweze kupata uelewa mpana wa sekta ya Hifadhi ya Jamii hususan bidhaa na huduma zinazotolewa na PSPF, kwa mwaka huu, PSPF ililenga kuhimiza watanzania kujiunga na...

 

11 years ago

Michuzi

Mfuko wa Pensheni wa PSPF yavutia wengi katika maonesho ya sabasaba


mayingu2Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu(Wapili kulia), akimuhudumia mstaafu, na mwanachama wa Mfuko huo, Jackson F. Salewa, wakati wa siku hya PSPF kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam leoNew membersMkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akisalimiana na baadhi ya wanachama wapya wa mfuko huo, waliojiunga wakati wa sherehe za siku ya PSPF iliyofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere kunakofanyuika maonyesho ya 38 ya biashara ya...

 

10 years ago

Habarileo

Waziri Kairuki azungumzia ugumu uendelezaji wa miji

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angellah Kairuki NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angellah Kairuki amesema suala la uendelezaji wa miji ni lazima liwe na mipango kabambe ya muda mrefu itakayoainisha uboreshaji wenye kunufaisha walio wengi.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI KAIRUKI AFANYA ZIARA YA KIKAZI TAKUKURU

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akisalimiana na watumishi wa TAKUKURU alipotembelea ofisi hiyo  Jumatatu.  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bw. Valentino Mlowola alipotembelea ofisi za TAKUKURU Jumatatu. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akizungumza na watumishi wa TAKUKURU alipotembelea ofisi...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA SIERRA LEONE ATEMBELEA HOSPITALI YA KAIRUKI

Waziri wa Kazi Viwanda na Ustawi wa Jamii wa Sierra Leone Dk. Methew Teambo na wawakilishi wa mamlaka za afya kutoka nchini Sierra Leone wakiambatana na maasifa wa mfuko wa bima ya afya Tanzania (NHIF) wemefanya ziara ya mafunzo katika hospitali ya Kairuki iliyopo Mikocheni jijini, Dar es Salaam.
Katika ziara hiyo ya mafunzo wameweza kuona utaratibu wa Kairuki Hospital wa jinsi wanavyowahudumia wateja wa NHIF ambapo waziri na wawakilishi kutoka Sierra Leone walikuwa na lengo la kuja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani