Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Kairuki azungumzia ugumu uendelezaji wa miji

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angellah Kairuki NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angellah Kairuki amesema suala la uendelezaji wa miji ni lazima liwe na mipango kabambe ya muda mrefu itakayoainisha uboreshaji wenye kunufaisha walio wengi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kairuki afunga mkutano wa ukuaji wa miji Afrika Mashariki

1

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Mendeleo ya makazi,Mhe:Angela Kairuki, akiongea na Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi za Afrika Mashariki wakati wa kufunga Mkutano wa siku mbili ulioandaliwa na Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa Maendeleo Endelevu (UONGOZI INSTITUTE) uliozungumzia changamoto za ukuaji wa miji na jinsi gani tungependa kuishi ifikapo 2050. Mkutano huo ulifanyika katika hoteli ya Hyatt Regency zamani Kilimanjaro-jijini Dar es Salaam.

2

3

Afisa mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi...

 

10 years ago

Michuzi

MH. ANGELA KAIRUKI AFUNGA RASMI MKUTANO WA KIKANDA WA UKUAJI WA MAISHA YA BAADAE KWA MIJI YA AFRIKA MASHARIKI

Mkutano wa kikanda juu ya ukuaji na maisha ya baadae ya miji ya Afrika mashariki ulioandaliwa na Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa Maendeleo Endelevu (UONGOZI INSTITUTE) umefungwa rasmi leo na Naibu waziri wa Nyumba na maendeleo ya makazi Mhe.  Angela Kairuki katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Mkutano huo wa siku mbili uliohudhuriwa na wawakilishi wa ngazi za juu kutoka serikalini, mashirika ya kikanda na kimataifa, miji mikubwa, wasomi, sekta binafsi na asasi za kiraia...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI KAIRUKI AFANYA ZIARA YA KIKAZI TAKUKURU

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akisalimiana na watumishi wa TAKUKURU alipotembelea ofisi hiyo  Jumatatu.  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bw. Valentino Mlowola alipotembelea ofisi za TAKUKURU Jumatatu. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akizungumza na watumishi wa TAKUKURU alipotembelea ofisi...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA SIERRA LEONE ATEMBELEA HOSPITALI YA KAIRUKI

Waziri wa Kazi Viwanda na Ustawi wa Jamii wa Sierra Leone Dk. Methew Teambo na wawakilishi wa mamlaka za afya kutoka nchini Sierra Leone wakiambatana na maasifa wa mfuko wa bima ya afya Tanzania (NHIF) wemefanya ziara ya mafunzo katika hospitali ya Kairuki iliyopo Mikocheni jijini, Dar es Salaam.
Katika ziara hiyo ya mafunzo wameweza kuona utaratibu wa Kairuki Hospital wa jinsi wanavyowahudumia wateja wa NHIF ambapo waziri na wawakilishi kutoka Sierra Leone walikuwa na lengo la kuja...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KAIRUKI AWATOA HOFU WAWEKEZAJI NCHINI



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akioneshwa na kupewa maelezo kuhusu mtambo wa kuzalisha mvinyo kutoka kwa Mhandisi wa Kemikali na Mchakato tija wa kiwanda hicho, Daniel Mollel wakati wa ziara yake katika kiwanda cha kuzalisha mvinyo cha DOMIYA.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI KAIRUKI ATEMBELEA IDARA YA HUDUMA ZA TEHAMA-UTUMISHI

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kushoto), akipewa ufafanuzi kuhusu kazi za Idara ya Huduma za TEHAMA-Utumishi na Mkurugenzi wa Idara hiyo Bw.Priscus Kiwango (aliyesimama). Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kulia), akipewa ufafanuzi kuhusu kazi za Idara ya Huduma za TEHAMA-Utumishi na Mkurugenzi wa Idara hiyo Bw.Priscus Kiwango (aliyesimama).Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI KAIRUKI KUKAA NA WATUMISHI MAOFISINI KUBAINI CHANGAMOTO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Anjella Kairuki (Mb) amesema atakaa na Watumishi katika ofisi zao ili kubaini changamoto zinazowakabili na kuzitatua.
Mhe. Kairuki alisema hayo mapema leo wakati alipokutana na Wafanyakazi wa Idara ya Uendelezaji Sera-UTUMISHI  katika  kikao kazi.
“ Watu wasiwe waoga katika kazi, mimi nimekuja kufanya kazi na kila kitu kina utaratibu wake” Mhe. Kairuki alisema na kusisitiza kuzingatia taratibu zilizowekwa ni jambo la  msingi.
Waziri...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KAIRUKI: MFUKO WA KUKOPESHA WAWEKEZAJI KUKOMBOA WENGI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akizungumza wakati wa Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki na Wanachama wa Chemba ya Wafanyabiashara wa Uswidi na Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Mikutano Serena Hotel Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2020Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akiteta jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani