WENGI WASIFIA HUDUMA YA UPASUAJI WA KUTUMIA MATOBO ‘LAPAROSCOPIA’ KAIRUKI HOSPITAL
Madaktari wakianza kumfanyia Operesheni ya tumbo kwa ajili ya kuondoa mfuko wa nyongo, mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam kwa kutumia vifaa vya kisasa ambapo mgonjwa hufanyiwa upasuaji kwa njia ya matobo. Madaktari wakiendelea na upasuaji.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziHUDUMA YA UPASUAJI WA KUTUMIA MATOBO ‘LAPAROSCOPIA’ KAIRUKI HOSPITAL JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
MichuziUPASUAJI WA MATOBO LAPAROSCOPIA WAFANYIKA LIVE KAIRUKI HOSPITALI
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Upasuaji matobo kufanywa ‘live’
WASHIRIKI wa warsha ya madaktari wa upasuaji watashuhudia moja kwa moja upasuaji wa matobo unavyofanyika, kama njia mojawapo ya kutoa elimu kwa vitendo. Naibu Mkurugenzi Mkuu na Daktari Bingwa wa...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
‘Madaktari wazawa jifunzeni upasuaji wa matobo’
KUTOKANA na uhaba wa huduma za upasuaji kwa njia ya matobo nchini, madaktari wazawa 200 kutoka hospitali mbalimbali wameshauriwa kujifunza aina hiyo ya upasuaji inayopunguza gharama za wagonjwa wasio na...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-llmOwniJA4o/VM-DhwhwshI/AAAAAAABSkc/b0tXrzgX7sg/s72-c/20150122_083234.jpg)
KAIRUKI HOSPITALI YAINGIZA MTAMBO MAALUMU WA UPASUAJI
Mtambo huu unafahamika kama Ultrasonic and Advanced Bipolar HARMONIC Generator unatumia nishati ya sauti au mwangwi (ultrasound) kuweza kukata mwili wa binadamu bila kupoteza hata chembe ya damu kwa mgonjwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Daktari Bingwa wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-VOZwsL1gC2I/XmsVcU3oGCI/AAAAAAALi30/KN0nsKN2Nh0NBPcDaN6ixMzzOh_Iay7_ACLcBGAsYHQ/s72-c/2abb09d5-c58a-4c83-94f7-a5a942f29ede.jpg)
WAZIRI KAIRUKI: MFUKO WA KUKOPESHA WAWEKEZAJI KUKOMBOA WENGI
![](https://1.bp.blogspot.com/-VOZwsL1gC2I/XmsVcU3oGCI/AAAAAAALi30/KN0nsKN2Nh0NBPcDaN6ixMzzOh_Iay7_ACLcBGAsYHQ/s640/2abb09d5-c58a-4c83-94f7-a5a942f29ede.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/7eaa4d47-6133-4c25-bcfd-89d3de97973d.jpg)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akizungumza wakati wa Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki na Wanachama wa Chemba ya Wafanyabiashara wa Uswidi na Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Mikutano Serena Hotel Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2020
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/n-22.jpg)
9 years ago
Mwananchi16 Oct
Upasuaji wa uvimbe wa saratani unavyofanyika kwa kutumia roboti
9 years ago
MichuziWAZIRI KAIRUKI ATEMBELEA IDARA YA HUDUMA ZA TEHAMA-UTUMISHI
10 years ago
Mwananchi20 Feb
TEKNOLOJIA TIBA: Upasuaji kwa kutumia roboti sasa wafanyika nchini