Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UPASUAJI WA MATOBO LAPAROSCOPIA WAFANYIKA LIVE KAIRUKI HOSPITALI

 Daktari Bingwa wa upasuaji Dk. Muganyizi Kairuki akizungumza wakati wa semina ya upasuaji kwa njia  matobo Laparoscopia uliofanyika LIVE katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliwashirikisha madakatari wa ndani na nje ya nchi.  Daktari Bingwa wa upasuaji kutoka Afrka Kusini, Prof. Zacharia Koto (wa pili kulia), akisaidiana na daktari bingwa wa upasuaji kutoka Namibia Dk. S. Kaikai (kulia) na Dk. Muganyizi Kairuki wakimfanyia operesheni ya kuondoa mawe...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

HUDUMA YA UPASUAJI WA KUTUMIA MATOBO ‘LAPAROSCOPIA’ KAIRUKI HOSPITAL JIJINI DAR ES SALAAM

Madaktari wakianza kumfanyia Operesheni ya tumbo kwa ajili ya kuondoa mfuko wa nyongo, mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam kwa kutumia vifaa vya kisasa ambapo mgonjwa hufanyiwa upasuaji kwa njia ya matobo. Madaktari wakiendelea na upasuaji. Dokta Muganyizi Kairuki akifanya upasuaji huku akiangalia kwa kutumia kamera maalum wakati wa kufanya operesheni. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

GPL

WENGI WASIFIA HUDUMA YA UPASUAJI WA KUTUMIA MATOBO ‘LAPAROSCOPIA’ KAIRUKI HOSPITAL

Madaktari wakianza kumfanyia Operesheni ya tumbo kwa ajili ya kuondoa mfuko wa nyongo, mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam kwa kutumia vifaa vya kisasa ambapo mgonjwa hufanyiwa upasuaji kwa njia ya matobo. Madaktari wakiendelea na upasuaji.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Upasuaji matobo kufanywa ‘live’

WASHIRIKI wa warsha ya madaktari wa upasuaji watashuhudia moja kwa moja upasuaji wa matobo unavyofanyika, kama njia mojawapo ya kutoa elimu kwa vitendo. Naibu Mkurugenzi Mkuu na Daktari Bingwa wa...

 

10 years ago

Michuzi

KAIRUKI HOSPITALI YAINGIZA MTAMBO MAALUMU WA UPASUAJI

HOSPITALI ya Kumbukumbu ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam, imeingiza mtambo maalumu wa kisasa kutoka Kampuni ya Ethicon ya Marekani utakaokuwa ukitumika katika upasuaji wa  kawaida na ule matobo.
 Mtambo huu unafahamika  kama Ultrasonic and Advanced Bipolar HARMONIC Generator unatumia nishati ya sauti au mwangwi (ultrasound) kuweza kukata mwili wa binadamu bila kupoteza hata chembe ya damu kwa mgonjwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Daktari Bingwa wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Madaktari wazawa jifunzeni upasuaji wa matobo’

KUTOKANA na uhaba wa huduma za upasuaji kwa njia ya matobo nchini, madaktari wazawa 200 kutoka hospitali mbalimbali wameshauriwa kujifunza aina hiyo ya upasuaji inayopunguza gharama za wagonjwa wasio na...

 

10 years ago

Mwananchi

TEKNOLOJIA TIBA: Upasuaji kwa kutumia roboti sasa wafanyika nchini

>Sekta ya afya duniani imeshuhudia mapinduzi yanayolenga kuongeza umri wa kuishi, ubora wa maisha, njia mbadala za uchunguzi, njia bora za matibabu na pia ufanisi na ubora katika huduma za afya.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA SIERRA LEONE ATEMBELEA HOSPITALI YA KAIRUKI

Waziri wa Kazi Viwanda na Ustawi wa Jamii wa Sierra Leone Dk. Methew Teambo na wawakilishi wa mamlaka za afya kutoka nchini Sierra Leone wakiambatana na maasifa wa mfuko wa bima ya afya Tanzania (NHIF) wemefanya ziara ya mafunzo katika hospitali ya Kairuki iliyopo Mikocheni jijini, Dar es Salaam.
Katika ziara hiyo ya mafunzo wameweza kuona utaratibu wa Kairuki Hospital wa jinsi wanavyowahudumia wateja wa NHIF ambapo waziri na wawakilishi kutoka Sierra Leone walikuwa na lengo la kuja...

 

11 years ago

GPL

MASTAA, WANANCHI WAKUSANYIKA HOSPITALI YA KAIRUKI KUUPOKEA MWILI WA TYSON

Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere, akiwasili katika Hospitali ya Kairuki kusubiri mwili wa marehemu. Steve alivalia tisheti yenye ujumbe 'Why always me'. Mke wa marehemu Tyson, Beatrice Shayo akiwa na simanzi wakati akiusubiri mwili wa mumewe.…

 

10 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA KAIRUKI YAPATA TUZO YA UBORESHAJI VIWANGO VYA HUDUMA YA AFYA

 Mkurugenzi Mkuu wa Hospital ya Kairuki, Dk. Asser Mchomvu akiwa amebeba tuzo aliyokabidhiwa na na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal (katikati). Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Rashid.
Picha ya pamoja.

Na Mwandishi Wetu 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ameukabidhi uongozi wa Hospitali ya Kairuki (KH) tuzo ya waliofanya vizuri katika vigezo mbalimbali vya uboreshaji viwango vya huduma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani