Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wafurahia huduma za NHIF maonesho ya Utumishi wa Umma

Meneja wa Masoko na Elimu kwa Umma, Anjela Mziray na Ofisa Matekelezo, Geofrey Tumaini wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakitoa ufafanuzi kwa wananchi waliotembelea banda la Mfuko katika Maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.  Maofisa wa NHIF wakiongozwa na Meneja wa Mkoa wa Temeke, Ellentruda Mbogoro (kushoto) wakichambua na kuhakiki fomu za wanachama waliowasilisha fomu za usajili kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho vya matibabu. Ofisa Mifumo Habari wa NHIF, Donald...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wananchi wahimizwa kutembelea Banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Na. Ally Mataula na Rocky Setembo.
Wananchi wamehimizwa kutembelea banda la Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Wito huo umetolewa na Afisa wa Maadili Mwandamizi Bw. Bazilio Mwanakatwe wakati akizungumza na Waandishi wa Habari waliotembelea banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho hayo.
Bw. Mwanakatwe aliendelea kubainisha kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YAZOA VIKOMBE VYA UBUNIFU KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA.

 Rais mstaafu Alhaj Ali Hasan Mwinyi akimkabidhi kikombe cha ushindi wa ubunifu katika maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma, mwakilishi wa mkurugenzi mkuu wa mfuko wa taifa wa  bima ya afya,Ali Othman katika maonyesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyofikia kilele leo  katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Picha ya pamoja wakiwa na vikombe vya ushiindi vya ubunifu katika maonesho ya utumishi wa umma yaliyofikia kilele leo  katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

NHIF na huduma bora Wiki ya Utumishi wa Umma

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Hamis Mdee akitoa maelekezo kwa Maofisa wa Mfuko huo katika maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja. Maofisa wa Mfuko katika banda la NHIF kitengo cha Usajili wa wanachama wakiendelea na uhakiki wa nyaraka kwa ajili ya vitambulisho. Wadau waliotembelea banda la NHIF wakipatiwa huduma. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis Mdee akitaka ufafanuzi wa jambo katika banda la Mamlaka ya...

 

11 years ago

Michuzi

NHIF yatoa huduma za upimaji afya bure wiki ya Utumishi wa Umma

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti, Raphael Mwamoto akitoa ufafanuzi wa huduma zinazotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) George Mkuchika alipotembelea banda la Mfuko huo, Kushoto ni Meneja wa NHIF, Mkoa wa Temeke Ellentruda Mbogoro. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) George Mkuchika akifurahi jambo baada ya kupata maelezo na huduma zinazotolewa na NHIF katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma. Maofisa wa Mfuko wa Taifa wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Wananchi wazidi kumiminika Banda la Mambo ya Nje Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Afisa kutoka Idara ya Mambo ya Nje Zanzibar, Bi. Asiya Hamdani akitoa maelezo kuhusu majukumu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa Wananchi waliokuja kutembelea Banda la Wizara lililopo katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni "Utumishi wa Umma katika Bara la Afrika ni Chachu ya Kuwawezesha Wanawake, Kuongeza Ubunifu na Kuboresha Utoaji Huduma Kwa Umma". Afisa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wastaafu wafurahia huduma za NHIF

BAADHI ya walimu wastaafu wa Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, wameupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa kuwa na fao la wastaafu linalowapa uhakika wa matibabu...

 

11 years ago

Michuzi

Wateja wamiminika banda la NHIF wiki ya Utumishi wa Umma

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Ellentruda Mbogoro akifafanua jambo kuhusiana na huduma zinazotolewa na Mfuko kwa wadau waliofika bandani hapo kwenye maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma. Ofisa Masoko na Elimu kwa Umma, Grace Michael (kushoto) akihakiki baadhi ya nyaraka zilizowasilishwa kwa ajili ya vitambulisho.  Meneja wa Masoko na Elimu kwa Umma, Anjela Mziray akitoa ufafanuzi wa jambo kwa wananchj waliofika bandani hapo, wengine ni Luhende Singu na Geofrey...

 

11 years ago

Michuzi

NHIF ilivyonyakua kombe la ushindi Wiki ya Utumishi wa Umma

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa NHIF, Raphael Mwamoto akipokea cheti cha ushindi wa banda bora katika maonesho hayo.   Ofisa Masoko na Elimu kwa Umma, Grace Michael akionesha kombe lililokabidhiwa kwa NHIF na Balozi Ombeni Sefue baada ya kuwa washindi.  Maofisa wa NHIF wakifurahia ushindi  Furaha iliendelea ndani ya banda  Meneja wa NHIF, Mkoa wa Temeke, Ellentruda Mbogoro kushoto, Grace Michael (Katikati) na Meneja Masoko na Elimu kwa Umma, Anjela Mziray wakifurahia...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF WASHIRIKI MAONYESHO YA UTUMISHI WA UMMA JIJINI DAR

 Afisa Mtafiti wa shughuli za mfuko wa Taifa wa bima ya Afya, Shani Mussa akitoa maelekezo katika maonyesho ya utumishi wa umma yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.Baadhi ya madaktari wakitoa maelezo  kwa wananchi waliojitokeza katika maonyesho ya utumishi wa umma  yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.(PICHA NA EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani