Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANCHI WAFURIKA KATIKA BANDA LA DEGE ECO VILLAGE, MLIMANI CITY, DAR ES SALAAM

Na Mwandishi Wetu. Wananchi wa jiji la Dar es Salaam wamepata nafasi ya kutembelea banda la Dege Eco Village na kufahamu juu ya mradi huo wa makazi bora unaofanyika Kigamboni eneo la Ras Dege. Akizugumza na wananchi waliotembelea banda hilo Afisa Masoko wa Hifadhi Builders Ltd inayosimamia mradi huo Bw. Adam Jusab alisema kuwa mradi huo ni kwa ajili ya wananchi wanaohitaji makazi bora na mpaka sasa nyumba elfu mbili zimekamilika kati ya nyumba elfu saba. Mradi huo utajumlisha aina mbili ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi wafurika katika banda la DEGE ECO Village, Mlimani City- Dar

Muuzaji kutoka Hifadhi Builders Ltd akiongea na mteja kuhusu mradi wa Dege Eco Village jijini Dar es salaam hivi karibuni.

Adam Jusab, Afisa Masoko akihojiwa na waandishi wa habari hivi karibuni na kulia kwake Bwana Nyenshile, Afisa Mauzo wa Hifadhi Builders. Muuzaji kutoka hifadhi Builders Ltd akiongea na mteja na kufafanua juu ya mradi huu wa Dege Eco Village iliyopo Kigamboni.

DSC_0495

Banda lililopo Mlimani City la Dege Eco Village jijini Dar es salaam.

Na Mwandishi Wetu.

Wananchi wa jiji la...

 

10 years ago

Michuzi

DEGE ECO - VILLAGE YAFANYA VYEMA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR

Kampuni ya Hifadhi Builders iliyokuwa na mradi mkubwa nchini inayoitwa Dege Eco Village wameweza kushiriki vyema maonyesho ya maonesho 39 ya kimataifa ya sabasaba jijini Dar es Salaam.
Meneja Mauzo wa Dege Eco - Village, Bi. Catherine Mhina alisema kwamba Dege Eco Village wanafurahi sana kuweza kuwafikia watanzania wengi ambao walikuwa na shauku ya kujua huduma wanazo zitoa iki ni pamoja na kununua nyumba wanazojenga katika mradi wao."Tunashukuru Kila mmoja alikuwa akipita hapa...

 

11 years ago

Michuzi

JK atembelea banda la NSSF, avutiwa na mradi wa ujenzi wa mji wa kisasa wa Dege Eco Village, kigamboni

 Banda la NSSF linavyoonekana kwa nje. Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dk. Ramadhani Dau wakati alipotembelea banda la NSSF. Kutoka kushoto ni Abeid, Zhulkifir na Thamrat Dau. Rais Jakaya Kikwete  akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Julius Nyamuhokya kuhusu mradi mkubwa wa ujenzi wa  mji wa kisasa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mradi wa nyumba wa DEGE ECO- Village waanza, wananchi wachangamkia fursa

IMG_9549

Mradi wa nyumba unaosimamiwa na kampuni ya Hifadhi inayoitwa Dege Eco-Village umeshiriki maonyesho ya nyumba yaliyofanyika jijini Dar es Salaam inategemea umeanza hivi karibuni.

Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,  Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo Bw. Azhar Malik wa Dege eco-Village alisema “Kwa sasa ujenzi unaendelea na karibu aina ya nyumba apartment 3000 zitakuwa tayari ifikapo Januari 2015.

Aliongezea kusema kwamba kupitia mradi huu waTanzania watanufaika kwa kupata...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mradi wa Dege Eco village waanza

KAMPUNI ya Hifadhi Builders inayotekeleza mradi wa Dege Eco Village imesema mradi huo utakua wa mafanikio kwa kuwa tayari wameshaanza kuuza nyumba hizo. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonyesho...

 

10 years ago

Michuzi

MRADI WA NYUMBA WA DEGE ECO-VILLAGE WAANZA

Mradi wa nyumba unaosimamiwa na kampuni ya Hifadhi inayoitwa Dege Eco-Village umeshiriki maonyesho ya nyumba yaliyoanza kufanyika jijini Dar es Salaam jana.
Wakati Meneja Masoko na Mauzo Bw. Azhar Malik wa Dege eco-Village akiongea alisema “Kwa sasa ujenzi unaendelea na karibu aina ya nyumba (apartment) 3000 zitakuwa tayari ifikapo Januari 2015. Aliongezea kusema kwamba kupitia mradi huu waTanzania watanufaika kwa kupata ajira na pia kuwa na huduma kama hospitali, shule na maduka...

 

11 years ago

Michuzi

Wajumbe Bodi ya Wakurugenzi NSSF Watembelea Ujenzi Mradi wa 'Dege ECO Village'

WAJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) leo wametembelea mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa unaojulikana kwa jina la Dege ECO Village unaojengwa eneo la Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. 
Ujenzi huo wa mji wa kisasa ambao utakuwa na nyumba za kuishi za kisasa za watu wa kipato cha kati unajumuisha ujenzi wa nyumba zaidi ya 7,000 zikiwa na huduma zote za kujamii eneo moja. Akizungumzia mradi huo mkubwa unaotekelezwa kati ya NSSF kwa...

 

10 years ago

Michuzi

DEGE ECO - VILLAGE WASHIRIKI MAONYESHO YA SABASABA, WATANZANIA WAOMBWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA KUNUNUA NYUMBA

Mradi wa nyumba unaosimamiwa na kampuni ya Hifadhi inayoitwa Dege Eco-Village umeshiriki Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam ya Saba Saba.Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,  Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo Bw. Azhar Malik wa Dege eco-Village alisema  kwa sasa ujenzi unaendelea na karibu aina ya nyumba apartment 3000 zishakamilika.Aliongezea kusema kwamba kupitia mradi huu waTanzania watanufaika kwa kupata ajira na pia kuwa na huduma kama hospitali, shule,...

 

10 years ago

Dewji Blog

DEGE ECO — Village washiriki maonyesho ya Sabasaba, wawaomba Watanzania kuchangamkia fursa za kununua nyumba

Mradi wa nyumba unaosimamiwa na kampuni ya Hifadhi inayoitwa Dege Eco-Village umeshiriki Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam ya Saba Saba.Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,  Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo Bw. Azhar Malik wa DEGE ECO-Village alisema “Kwa sasa ujenzi unaendelea na karibu aina ya nyumba apartment 3000 zishakamilika.Aliongezea kusema kwamba kupitia mradi huu waTanzania watanufaika kwa kupata ajira na pia kuwa na huduma kama hospitali,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani