Wananchi wahimizwa kujitokeza daftari la wapigakura
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapigakura ili kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa ifikapo Desemba 14, 2014.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo12 Jul
Watanzania wahimizwa kujiandikisha daftari la wapigakura
WATANZANIA wametakiwa kudumisha amani na utulivu na kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura pindi Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) itakapoanza kuboresha daftari hilo.
10 years ago
Dewji Blog13 Nov
Wananchi wahimizwa kujitokeza kupima ugonjwa wa Kisukari
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Stephen Kebwe.
Na Beatrice Lyimo- Maelezo
Serikali imetoa wito kwa kila mwananchi nchini kuhakikisha kwamba anapima afya yake mara kwa mara kwa kuwa ugonjwa wa kisukari unaweza usionyeshe dalili yoyote mapema ili kuweza kukabiliana na kupunguza athari za ugonjwa huo
Aidha Serikali imesisitiza kuwa endapo mtu atatambulika kuwa ana ugonjwa huo, atumie huduma za afya kulingana na ushauri wa atakaopewa na wataalam wa afya.
Hayo...
5 years ago
Michuzi
WANANCHI JIJINI ARUSHA WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGAKURA

Wakazi wa Kata ya Osunyai jijini Arusha wakinawa mikono kujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa corona kabla ya kuingia kwenye vyumba kujiaandikisha na kubadilisha taarifa zao katika mpango wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) kuboresha daftari la kudumu la wapigakura katika mikoa 12 ya mwanzo kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2020.

Msimamizi Msaidizi wa uchaguzi Arusha Mjini,Dk Maulid Madeni akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mwenendo wa uandikishaji wapigakura jijini Arusha.

Wananchi...
11 years ago
Tanzania Daima15 Sep
Wananchi wahimizwa daftari la wapiga kura
WANANCHI wa Wilaya ya Butiama mkoani Mara, wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la kupiga kura ili uchaguzi utakapofika waweze kupata haki yao ya msingi ya kuwachagua...
9 years ago
Michuzi
WANANCHI WAHIMIZWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUPIMA AFYA ZAO KUELEKEA DESEMBA MOSI, 2015.


Na...
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
Wananchi wahimizwa kujitokeza kwa wingi kupima afya zao kuelekea siku ya Ukimwi Desemba
Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI nchini Tanzania Dkt. Fatma Mrisho akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani mwaka huu ambayo inaadhimishwa kwa kuwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupima afya zao na kupata elimu ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa huo.
Na. Nyakongo Manyama- MAELEZO.
[DAR ES SALAAM] Wito umetolewa kwa wananchi kote nchini kuyatumia maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani ambayo huadhimishwa kila ifikapo...
10 years ago
Michuzi
NASSARI AENDELEA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA


BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
10 years ago
Dewji Blog27 Nov
Wananchi wahimizwa kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Jumanne Sagini akionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) Daftari la Wapiga Kura linalotumika kuandikisha wananchi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kushoto ni Mratibu wa Uchaguzi huo Bw. Denis Bandisa.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Jumanne Sagini akiongea na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Desemba 14 mwaka huu ambapo amesema...
5 years ago
Michuzi
WAZIRI MHAGAMA APONGEZA WANANCHI KWA KUJITOKEZA NA KUBORESHA TAARIFA ZAO KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Kelema alipofanya ziara ya kukagua zoezi la uwekaji wazi wa Daftari la Mpiga Kura pamoja na kuangalia uboreshaji wa taarifa za wapiga kura Wilayani Chemba.
