Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wahimizwa kujitokeza kupima ugonjwa wa Kisukari

PIX 2,,

Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Stephen Kebwe.

Na Beatrice Lyimo- Maelezo

Serikali imetoa wito kwa kila mwananchi nchini kuhakikisha kwamba anapima afya yake  mara kwa  mara  kwa kuwa ugonjwa wa kisukari unaweza usionyeshe dalili yoyote mapema ili kuweza kukabiliana  na kupunguza athari za ugonjwa huo

Aidha Serikali imesisitiza kuwa endapo mtu atatambulika  kuwa ana ugonjwa huo, atumie huduma za afya kulingana na ushauri wa atakaopewa na wataalam wa afya.

Hayo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wananchi wahimizwa kujitokeza kwa wingi kupima afya zao kuelekea siku ya Ukimwi Desemba

TACAIDS - 0

Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI nchini Tanzania Dkt. Fatma Mrisho  akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani mwaka huu ambayo inaadhimishwa kwa  kuwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi  kupima afya zao na kupata elimu ya kujikinga  na maambukizi ya ugonjwa huo.

Na. Nyakongo Manyama- MAELEZO.

[DAR ES SALAAM] Wito umetolewa kwa wananchi kote nchini kuyatumia maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani ambayo huadhimishwa kila ifikapo...

 

9 years ago

Michuzi

WANANCHI WAHIMIZWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUPIMA AFYA ZAO KUELEKEA DESEMBA MOSI, 2015.

Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI nchini Tanzania Dkt. Fatma Mrisho  akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani mwaka huu ambayo inaadhimishwa kwa  kuwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi  kupima afya zao na kupata elimu ya kujikinga  na maambukizi ya ugonjwa huo.  Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Tathmini wa TACAIDS Dkt. Jerome Kamwela akiwaonesha waandishi wa Habari Bango lenye Takwimu za Hali ya Maambukizi ya VVU nchini Tanzania.
Na...

 

10 years ago

Habarileo

Wananchi wahimizwa kujitokeza daftari la wapigakura

 Chiku GallawaMKUU wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapigakura ili kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa ifikapo Desemba 14, 2014.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi watakiwa kujitokeza kwenye kambi ya kupima Afya bila malipo kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5

DSCN9331

DSCN9215

Mkurugenzi Mtendaji wa Kliniki ya kimataifa ya afya ya uzazi kwa baba, mama, mtoto na vijana (AMM), Dk Ali Mzige (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Kambi ya kupima afya bila malipo kwa watoto wadogo, itakayofanyika Jumapili ya Machi 8 mwaka huu. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa umoja wa jamii ya watu kutoka India Bengali waliopo hapa Tanzania, BANGO SANGHO, Amit Nandy na kulia ni  mwakilishi wa shule ya Kibugumu, Mwalimu Mzamili Ally.

Na Andrew Chale modewji...

 

10 years ago

GPL

WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KWENYE KAMBI YA KUPIMA AFYA BILA MALIPO KWA WATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 5‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Kliniki ya kimataifa ya afya ya uzazi kwa baba, mama, mtoto na vijana (AMM), Dk Ali Mzige (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Kambi ya kupima afya bila malipo kwa watoto wadogo, itakayofanyika Jumapili ya Machi 8 mwaka huu. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa umoja wa jamii ya watu kutoka India Bengali waliopo hapa Tanzania, BANGO SANGHO, Amit Nandy na kulia ni mwakilishi wa...

 

11 years ago

Habarileo

Watakiwa kujitokeza kupima selimundu

WATANZANIA wametakiwa kujitokeza kupima damu ili kufahamu kama wana ugonjwa ama vinasaba vya ugonjwa wa selimundu (sikoseli) ili waweze kupewa matibabu mapema.

 

11 years ago

Habarileo

JK ahimiza wanawake kujitokeza kupima saratani

Rais Jakaya KikweteSERIKALI imeweka mikakati ya kuhakikisha inapunguza vifo vinavyotokana na saratani ya mlango wa kizazi na matiti nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania wahimizwa kupima afya

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Stephen Kebwe amewataka wananchi kujenga utamaduni wa kupima afya zao ili kuzuia kasi ya ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ugonjwa wa Kisukari wakati wa ujauzito — 2

KAMA kawaida tuanze makala yetu na kishtua mada tukiwasilikiza washkaji wawili. Mshikaji 1: Eti tunaweza tukaufananyisha ugonjwa wa kiharusi (stroke) na radi? Mshikaji 2: Ndio; hasa kwa kuwa hali zote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani