Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANCHI WALIVYOTAKA KUPAMBANA NA JESHI LA POLISI

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI ARUSHA LAANZA UJENZI KITUO KIDOGO CHA POLISI KATA YA KISONGO,ARUMERU KUONDOA KERO KWA WANANCHI

JESHI la Polisi mkoani Arusha, litaanza ujenzi wa kituo kidogo cha polisi katika kata ya Kisongo wilayani Arumeru mkoani hapa baada ya jitihada za Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro kuwapa eneo la ujenzi huo ili kuondoa kero kwa wananchi.

Akikabidhi eneo hilo kwa kuanza kupanda miti, Mkuu wa wilaya hiyo Muro, alisema kituo hicho kitasaidia kuimarisha ulinzi kwa jamii katika eneo hilo baada ya muda mrefu kuwepo matukio ya uhalifu.

Alisema eneo hilo ambalo linakuwa kwa kasi kumekuwepo na...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI KITWANGA AANZA ZIARA ZAKE KWA KUTEMBELEA JESHI LA POLISI, AWATAKA MAKAMANDA NA ASKARI KUPAMBANA NA CHANGAMOTO

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akizungumza na Maafisa, Wakaguzi na Askari wa Jeshi la Polisi katika Ukumbi wa Mikutano wa Kituo Kikuu cha Polisi (Central) wakati alipokitembelea kituo hicho cha Polisi jijini Dar es Salaam leo. Pia Waziri Kitwanga katika ziara yake hiyo ya kwanza tangu alipoteuliwa kuiongoza wizara hiyo, alitembelea Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam (DPA), pamoja na kukagua nyumba za Makazi ya Polisi za sasa na zamani zilizopo barabara ya Kilwa....

 

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAWATAHADHARISHA WANANCHI KUHUSU MKESHA WA MWAKA MPYA.


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

                                                  WIZARA YA MAMBO YA NDANI

                                                     JESHI LA POLISI TANZANIA

                                                                                             31/12/2015TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI

KUHUSU TAHADHARI KATIKA MKESHA WA MWAKA MPYA    


Tunapoelekea kumaliza mwaka 2015 na kuukaribisha  mwaka mpya wa  2016, wananchi hutumia muda huo kwenda  katika...

 

11 years ago

Michuzi

jeshi la polisi latahadharisha wananchi kuwa makini wakati wa sikukuu ya pasaka

SSP ADVERA SENSO Tunapoelekea kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka, Jeshi la Polisi nchini, linatoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika suala la usalama wa maisha na mali zao.  Uzoefu unaonyesha kwamba, katika kipindi kama hiki cha sikukuu kuna baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vya uhalifu. Hata hivyo, Jeshi la Polisi katika mikoa yote limejipanga vizuri kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuhakikisha kwamba hakuna vitendo vyovyote vya...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI ARUSHA LAWAASA WANANCHI KUTOA TAARIFA HARAKA WANAPOTOKEA MAJANGA YA MOTO

Na Jusline Marco-Arusha

Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limewataka wananchi kutoa taarifa haraka kwa Jeshi la Polisi na Jeshi la zima moto na uokoaji pindi wanapoona majanga ya moto yanapotokea ili kuweza kuyadhibiti kwa haraka kabla hayajaleta madhara makubwa.

Akitoa taarifa za kutokea kwa tukio hilo  kwa waandishi wa habari Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani humo KOKA MOITA ACP amesema tukio hilo limetokea jana majira ya saa tano na nusu usiku katika Soko la Samunge lililopo Mtaa wa NMC,Kata ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani