Wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika kipindi cha kupiga kura ili kupata kiongozi bora

Na Woinde Shizza, ArushaWANANCHI wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika kipindi cha kupiga kura ili kupata kiongozi bora ambaye anaweza kuiongoza serikali na kuiletea nchi maendeleo kama vile Rais Wa awamu ya tano John Magufuli alivyofanya.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti Wa umoja Wa jumuiya ya wazazi nchi Edmund Mundolwa wakati akiongea na wananchi, makadi wa CCM Wa halmashauri ya Meru alipofanya ziara ya kutembelea na kuona kuzindua rasmi mradi Wa Nyuki uliopo katika Kijiji cha Sakila chini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi28 Apr
MBUNGE NATSE AWATAKA WANANCHI WA KARATU KUJITOKEZA KWA WINGI KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

10 years ago
Michuzi
WANAWAKE WAASWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUKIPINGIA KURA CHAMA CHA MAPINDUZI

Akizungunguza na wanawake wa wa Kata ya Makolongoni Mbunge wa viti maalum mkoani Iringa Rose Tweve aliwataka wananchi kutobabaishwa na wapinzani kwani hawana nia njema na watanzania na kusema kuwa chama hicho kina misingi ya kutetea amani ya Nchi. "sisi sote ni wanawake niwaombeni sana tukipigie kura...
10 years ago
Dewji Blog25 Oct
Wananchi wajitokeza kwa wingi kupiga kura maeneo mbalimbali ya Kata ya Kijitonyama jijini Dar
Wasimamizi wa uchaguzi wakiendelea kuwahudumia wananchi waliofika katika kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama leo jijini Dar kwa ajili ya kupiga kura.(Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).
Mmoja wa wazee akisaidiwa na mtu wake wa karibu ili kupiga kura katika kituo cha Chuo cha Ustawi wa Jamii jijini Dar leo.
Mlemavu akisaidiwa na mtu wa karibu alipofika katika kituo cha Kenton kwa ajili ya kupiga kura.
Mmoja wa wananchi akiwa kwenye sehemu ya kupigia kura...
10 years ago
Dewji Blog03 Feb
Jerry Silaa awataka wakazi wa Lindi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura
Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jerry Silaa.
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi
Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura ili waweze kushiriki kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Rai hiyo imetolewa na Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jerry Silaa wakati akiongea kwenye kilele cha sherehe za kutimiza miaka 38 ya chama hicho...
10 years ago
Dewji Blog11 Feb
Mama Salma Kikwete awataka wakazi wa Lindi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete.
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi
Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura ili waweze kushiriki kwenye zoezi la kuipigia kura Katiba inayopendekezwa na uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Mwito huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
10 years ago
Michuzi
MAMA SALMA KIKWETE AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA LINDI KUJITOKEZA KWA WINGI KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura ili waweze kushiriki kwenye zoezi la kuipigia kura Katiba inayopendekezwa na uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Mwito huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika katika...
9 years ago
Michuzi
RC Makalla awashukuru wananchi kwa kujitokeza kwa wingi kufanya usafi
Na Mwandishi Wetu, KilimanjaroMKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Mh Amos Makalla, amewapongeza wakazi na wananchi wake katika mkoa huo kwa kuunga mkono agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli la kufanya usafi na kutunza mazingira katika siku ya Uhuru, 9 Desemba iliyoadhimishwa jana nchini kote.

11 years ago
Michuzi
Tume ya Taifa ya Uchaguzi yasisitiza wapiga kura ndani ya Jimbo la Chalinze wajitokeze kwa wingi na kwenda kupiga kura


10 years ago
Dewji Blog24 Apr
Maandalizi ya sherehe za miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar yakamilika, wananchi waombwa kujitokeza kwa wingi
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yatapambwa na Kauli Mbiu isemayo Miaka 51 ya Muungano, Tudumishe Amani Na Umoja, Ipigie Kura ya Ndiyo Katiba inayopendekezwa na Kushiriki Uchaguzi Mkuu.
Askari watakaoshiriki kwenye Gwaride la heshima litakalohusisha vyombo vya ulinzi na usalama wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wakiwa wamebeba bendera za Majeshi ya Tanzania...